Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Anakuja mpumbavu mmoja anafananisha na sehemu fukara kama shinyanga.
Mind you miaka 10 ijayo mikoa ya nyanda za juu kusini itakuwa mbali sana sababu ya mapinduzi makubwa yanayofanyika kwenye kilimo
Bukoba mjini.

Hii ndo kagera

Foleni za magari wakirudi vijijini kwao .

Bukoba mjini asubuhi watu huingia mjini na jioni watu hutoka mjini na kurudi vijijiniView attachment 1930719
Screenshot_20210909-155931.jpg
 
Pale watu wanapokuwa na vipato.

Bukoba mjini wakati wa jioni

Asilimia kubwa ya watu huishi vijijini kwao so asubuhi na jioni mji wa bukoba hukumbwa na foleni . Ndo maana bukoba Ina daladala nyingi za kuelekea vijijini kuliko za ndani ya mjiView attachment 1930722View attachment 1930723
Sasa hiyo ni lami au kituko?

Sasa kama hicho kimji kinaitwa Manispaa hapa Tunduma itakuwa Jiji au? Compare and contrast

Screenshot_20210908-230048.png


Screenshot_20210909-075003.png
 
Back
Top Bottom