Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hakuna Mji hapo,hapa tunaonyesha fahari ya Miji yetu yote ya Kusini,Baada ya Kahama kukosa cha kuishinda Njombe ndio mkaja na fishing village ya Bukoba sasa ikabidi tuwaoneshe kwamba tuna miji zaidi na Sumbawanga tuu imewatosha ..

Kama Mbeya City ilichakaza Mwanza kwa Vyuo vikuu mpaka hapo unaweza ona huko poverty zone ni hopeless kabisa.

Nyinyi mliweka vyuo vya mkoa mzima wa mbeya lakini yule baharia alitupia vyuo vya wilaya moja tu ya Nyamagana acheni uzwazwa mnaitaji safari ndefu sana kufika mahali kanda ya ziwa walipofikia japokuwa kuna hawamu ya kishenzi ile hawamu ya nne ya yule mkwere ilitaka kutusahau lakini juhudi na maarifa na uchapakazi na kuchapa sehemu za uzazi ndizo zilituletea maendeleo.
 
yaani unahitaji kuwa kichaa kwanza ndo ulinganishe jiji la Mwanza (la pili baada ya Dar) na kijiji kikubwa cha Mbeya (Mbeya jiji)
 
Acha porojo wewe,Mwanza ina vyuo vikuu vingapi na Mbeya vingapi?

Tuvyuo uchwara twa uchochoroni ndio unakuja kujipigia kifua? Nataka vyuo vikuu
 
mnateseka sana, mjini mmejaza slums na vijijini mmejaza tembe yaani ni shida tupu njoo mjifunze huku View attachment 1931793View attachment 1931795View attachment 1931796View attachment 1931797
Barabara huwa zinafanania hivi 👇

2858319_IMG_1477.jpg

2858319_IMG_1477 (1).jpg
 
yaani unahitaji kuwa kichaa kwanza ndo ulinganishe jiji la Mwanza (la pili baada ya Dar) na kijiji kikubwa cha Mbeya (Mbeya jiji)
Unatakiwa kuwa mwehu kuamini Jiji linaliongoza kwa umaskini Tzn kuwa eti Ndio Jiji la pili,aisee ukirukwa akili utaamini huu upuuzi.

Linaloitwa Jiji hata dual carriage way hata moja hakuna,kama sio ukichaa huu ni nini.
 
fahari gan mnaonyesha hapa zaidi ya mavumbini huko.

Huko kusini hakuna miji kabisa .just imagine karibia kila kitu kicholimwa kusini kinalimwa mkoa mmoja tu wa kagera.

Kitu gan Cha kusini hakilimwi kagera

Kagera ipo top five ya kilimo Cha nanasi View attachment 1931789
How comes mnaongoza kwa umaskini? 😄😄 .Namba hazidangayi sio kama porojo zako.

Wewe toka umezaliwa umewahi ona Kagera iko hata top 20 ya GDP Kitaifa achilia mbali hata top 15 za Miji yenye mapato?
 
Yaani nione wivu wanakoishi maskini huko? Are you serious? Umewahi ona nani amehama Kusini akaja kwenye migomba?

Labda uwe kichaa ndio utaacha pesa Kusini uende huko kwenye mbavu za mbwa..

Vitegauchumi kama kawa

View attachment 1931952

View attachment 1931953

View attachment 1931954

View attachment 1931955

View attachment 1931956

View attachment 1931958

View attachment 1931959

View attachment 1931960

View attachment 1931961
Jamani huu ni mji?

Cheki mavumbi mavumbi
 
We jamaa nakuvumilia tu na kupost utumbo na unakaa unaurudia rudia

Anyway natangaza mkoa wa kagera najua watu wengi wanaview uzi
 
Sijawahi rudia picha wewe kima,acha maneno onyesha picha..

Huo mkoa hata ungewekwa kwenye kioo cha CNN hakuna impacts Chanya utapata maana uko kushoto na watu wake ni maskini.

Only outsiders za mkoa ndio wamejenga huko Vijijini mwisho wa mwaka wanakuja kusalimia na kusepa but no uwekezaji wowote unaoweza fanyika kwenye jamii maskini.

Endeleeni na katerero tuu 😂😁
 
Jamani huu ni mji?

Cheki mavumbi mavumbi
Ni Mji tena mkubwa ,hiyo fishing village town ya Bukoba inaingia twice.

So kwa Mji mkubwa kama huu vumbi sio tatizo ni kawaida, unfortunately licha ya kamji kenu kuwa kadogo hakana barabara zozote za maana na usiku kote kako gizani.

You can see hapo barabara nyingi zina taa hakuna giza huku.
 
Yap mkoa wa kagera Kuna mahali tunakwama hasa upande wa makusanyo na GDP ukilinganisha na idadi wa wasomi waliotoka mkoa huu

Mifumo mibovu ya uendeshaji wa mkoa huu kutoka serikali kuu. Majanga yaliyoukumba na magendo
Hiyo mifumo iko Kagera tuu mikoa mingine haiko Tzn iko Mars sio ? 😄😄😄🏃🏃..

Ni hivi mumewekeza akili kweli katerero na kwenye nadharia za vitabu vitu ambavyo haviwezi kubadili chochote kuwa pesa zaidi ya kusubiria kuajiliwa.

Ona mnavyotia aibu hapa chini👇
 
Attachments

Sijawahi rudia picha wewe kima,acha maneno onyesha picha..

Huo mkoa hata ungewekwa kwenye kioo cha CNN hakuna impacts Chanya utapata maana uko kushoto na watu wake ni maskini.

Only outsiders za mkoa ndio wamejenga huko Vijijini mwisho wa mwaka wanakuja kusalimia na kusepa but no uwekezaji wowote unaoweza fanyika kwenye jamii maskini.

Endeleeni na katerero tuu
maneno ya kanga.

Naam kagera ipo BBC just imagine
Tunasifiwa kwa uzalishaji wa maharage
Screenshot_20210910-143139.jpg
 
Acha porojo wewe,Mwanza ina vyuo vikuu vingapi na Mbeya vingapi?

Tuvyuo uchwara twa uchochoroni ndio unakuja kujipigia kifua? Nataka vyuo vikuu
Nyie endeleeni kujisifu kwa vyuo sisi na wakina nshomile waitu tunajazana huko kwenye vyuo vyenu kuliko ata nyie wenyeji.
 
Back
Top Bottom