Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Huu mji hunidanganyi .
Ni manzese iliyochangamkaView attachment 1930125

Picha ya kitambo sana hiyo,
Sasa hivi pako hivi, na Nyie huko bukoba muache kucheza katerelo, jengeni mji
IMG_1722.jpg

IMG_1716.jpg

IMG_1718.jpg

IMG_1717.jpg

IMG_1715.jpg
 
Nyumba zenu za vijijini ziko wap?

Hapo ndo kagera inapowapiga gap. Vijijini Kuna nyumba nzr Sana huko kusini mnafeli wap au mnaogopa kurogwa!! View attachment 1930272View attachment 1930273View attachment 1930274View attachment 1930275View attachment 1930277View attachment 1930278View attachment 1930279View attachment 1930282

Tunaishi mijini, kijijini sio sana.
Watu walioendelea kote duniani wanaishi mijini (Level of urbanisation inatranslate kiwango cha maendeleo)
But nevertheless, tumejenga vijijini kama kawaida
 
Tunaishi mijini, kijijini sio sana.
Watu walioendelea kote duniani wanaishi mijini (Level of urbanisation inatranslate kiwango cha maendeleo)
But nevertheless, tumejenga vijijini kama kawaida
Eti mnaishi mjini
Wakati Iringa wakazi wanaoishi urban ni 8%
Wengine vijijini huko

Bukoba vijijini
Screenshot_20210909-153409.jpg
Screenshot_20210909-160756.jpg
Screenshot_20210909-153438.jpg
Screenshot_20210909-153739.jpg
Screenshot_20210909-153749.jpg
Screenshot_20210909-153453.jpg
Screenshot_20210909-153506.jpg
Screenshot_20210909-153314.jpg
 
Tunaishi mijini, kijijini sio sana.
Watu walioendelea kote duniani wanaishi mijini (Level of urbanisation inatranslate kiwango cha maendeleo)
But nevertheless, tumejenga vijijini kama kawaida
Mkijenga vijijini maendeleo huwafata huko huko.

Barabara za lami huko kamachumu bukoba vijijini
Screenshot_20210909-160523.jpg
Screenshot_20210909-161153.jpg
Screenshot_20210909-150342.jpg
 
Back
Top Bottom