Kahama VS Njombe/Mafinga

Kiroyera tours and camping sites bukoba


The beaches in bukoba
 
Haha kaka takwimu zinaongea hizo starehe zpo kila kona
Hizo starehe zpo kila Kona maendeleo yanapimwa na rasilimali zilizopo eneo husika
 
Halafu anakuja mpumbavu mmoja anakwambia mji umelala


New projects bukoba
 
Msichojua tuna watu Kagera wengi wanatupatia uhalisia.
Mimi kwetu ni bukoba vijijin sehemu moja inaitwa bugabo kata rubafu (mpakani mwa TANZANIA na Uganda) kwa ufupi maisha ya uko ni mazuri sana,kuliko ata Morogoro mjini
watu wanajenga nyumba vizuri bodaboda zipo adi saa 6 usku
Thibitisha
 
Na mwaka huu ndio kabisaa TMA wamewaambia mvua za vuli hazitanyesha sasa si watazidi kudidimia kwenye umaskini hao, yaani hadi huruma.

Nyanda za Juu ni nchi ya ahadi ,muwe na pa kukimbilia njaa ikiwakamata soon mtaanza kuuza maksai kwa gunia la mahindi.
 
Tunavosema takwimu hazidanganyi mtuelewe saiz mkoa wa njombe kila Kona kumefunguka full uwekezaji na hapa ni maketeView attachment 1924169View attachment 1924171
Kiukweli kukamilika kwa barabara kwa lami ya Njombe Makete Mbeya kutabadili sura ya Mkoa haraka Sana.

Mazao ya miti na viazi vya Makete vilikuwa havitoki kwa sababu ya terrains mbaya na poor accessibility.

Tarura Makete wamepewa pesa nyingi tuu Ili kuunga barabara za vijiji kwenye barabara kubwa ya Tanroads kwa hiyo watu watakuwa milionea fasta kwa sababu za miti,viazi na utalii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…