Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Unaonekana kwa Takwimu na picha ,sasa kwani mimi Niko huko kijijini kwenu hadi nipige picha?Hebu Tuonyeshe huo umaskini![]()
Unaonekana kwa Takwimu na picha ,sasa kwani mimi Niko huko kijijini kwenu hadi nipige picha?Hebu Tuonyeshe huo umaskini![]()
Kenya GDP nene, ila majority wanaishi maisha ya kunguni, nyie kaeni na GDP Lake zone tunatengenza uchumi wa nchiUnaonekana kwa Takwimu na picha ,sasa kwani mimi Niko huko kijijini kwenu hadi nipige picha?
Unaonekana kwa Takwimu na picha ,sasa kwani mimi Niko huko kijijini kwenu hadi nipige picha?
Pale maendeleo yanapoonekana. Sio GDP ambao ni uongo wakati tz bado tupo maskini Sana.Acha upumbavu mkuu hii haitabidikisha ukweli kwamba huko kumetamalaki umaskini.
Afu uache utoto wa kuleta picha za miaka ya zamani,mimi nimekupa current data from trusted source.
Hakuna kisingizio cha DDP hapa,ukichukua wanaishi kwenye Hali mbaya ya umaskini Kati ya Njombe na Kagera , typical kagera itaongoza in terms of numbersKenya GDP nene, ila majority wanaishi maisha ya kunguni, nyie kaeni na GDP Lake zone tunatengenza uchumi wa nchi
sisi sio wakenya sasa.Kenya GDP nene, ila majority wanaishi maisha ya kunguni, nyie kaeni na GDP Lake zone tunatengenza uchumi wa nchi
Ushirikina tu huko njombe.Hakuna kisingizio cha DDP hapa,ukichukua wanaishi kwenye Hali mbaya ya umaskini Kati ya Njombe na Kagera , typical kagera itaongoza in terms of numbers
Nyumba za watu ziko wap
Ndo maana tunakwambia mme dumaa we had saiz miji ya juzi tu imewapita ya kuzidi mfano unavoongelea mkoa wa njombe saiz eneo kubwa umesha jengeka miji imekutana mfano makambako na njombe hi ni miji mikubwa iliyopo ndan ya wilaya moja ya njombe imeshakutatana pia na vimiji vidogo vya kutosha vimesha kutana na miji mikubwa ko ni mkoa ambao upo speed mno kwa kujengeka
Usirudie Tena kulinganisha bukoba na upumbavu wa huko kusini
Ulivyo mjinga kweli wew.Ndo maana tunakwambia mme dumaa we had saiz miji ya juzi tu imewapita ya kuzidi mfano unavoongelea mkoa wa njombe saiz eneo kubwa umesha jengeka miji imekutana mfano makambako na njombe hi ni miji mikubwa iliyopo ndan ya wilaya moja ya njombe imeshakutatana pia na vimiji vidogo vya kutosha vimesha kutana na miji mikubwa ko ni mkoa ambao upo speed mno kwa kujengeka
Haha bukoba labda imesambaa migomba ila.sio makaziUlivyo mjinga kweli wew.
Kwa hiyo kusambaa kwa mji ndo kujengeka?
Mbona mna population density ndogo Sana kulinganisha na kagera, Kilimanjaro na dar.
Hiv kagera ukiondoa ile migomba si ni mji kabisa.
Maendeleo sio kujenga Jenga miji na kusambaa . maendeleo ni kujitosheleza kwa hiyo miji Kama ilivyo bukoba
Japo nmeenda mara mbiliikonda hosptal MAKETE-NJOMBE
View attachment 1916381
View attachment 1916383
View attachment 1916385
View attachment 1916388