Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Uwe unagoogle taarifa current ,hii taarifa yako ni zamani sana inazungumzia Ludewa ya Iringa wakati toka 2012 Ludewa haiko Iringa tena iko mkoa wa Njombe.Nikukumbushe Barabara ya Zege kilomita Hamsini amabayo pengine ndefu zaidi kwa kiwango hicho East na Central Africa.Iko Njombe Wilaya ya Ludewa.na sasa imebaki kama kilomita 15 kuisha.Unapogoogle tafuta latest information najua wewe bado hujasaranda sehemu nyingi za nchi hii.
View attachment 1916245

View attachment 1916247
Jamani nyie watu. Barabara nzr lakin cheki pembeni nyumba aisee check nyumba [emoji23][emoji23][emoji23]

Mkoa una GDP kubwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vip na hii ilishajengwa[emoji23][emoji23]
images%20(96).jpg
images%20(98).jpg
 
Kwa unataka kusema mmeendelea Sana baada ya miaka hii kumi yote[emoji23][emoji23][emoji23]

Tanzania hii[emoji23][emoji23][emoji23]

Tanzania umaskini bado ni mkubwa Sana

Tena huko kusini ndo balaa.

Mimi hotel hazijaisha huku bukoba.

Wahaya wanajitahidi Sana kuwekeza kwao

Royal fountain hotel bukobaView attachment 1916253View attachment 1916254View attachment 1916255View attachment 1916256View attachment 1916257
1630316451830.png

1630316511854.png

1630316591285.png

1630316659524.png

usifikiri ni Njombe mjini huku ni ludewa Vijijini kabisa kuna mambo makubwa kama haya
 
Makete ni moja ya wilaya kwenye mkoa wenye per capita ya 3000[emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu huko si ndo kwa wakinga[emoji23][emoji23][emoji23]

Kagera kitakwimu inaonekana maskini lakin kuuhalisia haijafikia hali hii.
View attachment 1916222View attachment 1916223View attachment 1916224View attachment 1916225View attachment 1916226View attachment 1916227
Hii ilitokana na kukosekana kwa barabara za uhakika kwa sasa barabara iko tayari hadi Njombe mjni na ujenzi unaendelea kuunganisha na Mbeya.

Na tulivyo wachapa Kazi,hilo gazeti lije tena 2025 kuandika huo ujinga.
 
Pamoja na wilaya ya biharamulo ( ambayo ndo maskini Sana mkoa wa kagera) kuwa maskini lakin haijafikia hatua hii.

Ludewa ndani ya mkoa wenye per capita kubwa nchini njombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1916236View attachment 1916237
Hizo Wilaya zote unazozitaja hazikuwa kabisa na barabara za kutoa rasilimali huko Vichakani given jografia ya milima na mabonde kwa Mkoa wetu.

As we speak barabara ya lami kwenda Ludewa hadi Mbamba Bay inaendelea kujengwa.

Na ndio maana ilibidi tugawane mikoa maana Iringa walikuwa wanajipendelea kwao tuu .

Ila ukweli mchungu ni kwamba idadi ya maskini kama hao unaookoteza wewe jamaa ni wengi Sana huko Kagera kuliko Njombe.
 
Hii ilitokana na kukosekana kwa barabara za uhakika kwa sasa barabara iko tayari hadi Njombe mjni na ujenzi unaendelea kuunganisha na Mbeya.

Na tulivyo wachapa Kazi,hilo gazeti lije tena 2025 kuandika huo ujinga.
Kwamba kagera 2025 itakuwa imelala sio.

Sio mwakani tunasubiri meli mpya ya mv mwanza .
Chuo kikuu tawi la udsm bukoba
Chuo kikubwa Cha veta bukoba
Barabara za vijijini zinakamilika huko kanyigo,misenyi,minziro na katerero
Upanuzi wa uwanja wa ndege wa bukoba.
Nk nk
 
Hizo Wilaya zote unazozitaja hazikuwa kabisa na barabara za kutoa rasilimali huko Vichakani given jografia ya milima na mabonde kwa Mkoa wetu.

As we speak barabara ya lami kwenda Ludewa hadi Mbamba Bay inaendelea kujengwa.

Na ndio maana ilibidi tugawane mikoa maana Iringa walikuwa wanajipendelea kwao tuu .

Ila ukweli mchungu ni kwamba idadi ya maskini kama hao unaookoteza wewe jamaa ni wengi Sana huko Kagera kuliko Njombe.
Kwamba watu wameamia Sasa hiv[emoji23][emoji23][emoji23]

Kamkoa kenyewe kadogo Kana watu wachache bado kana maskini na ufukara wa kutupwa.
 
Hii ndo hospital mnaona kubwa kusini [emoji23][emoji23]
Nani kasema hii ndio hopstal kubwa?Ziko kubwa kama Njombe referal,Mbeya referal hospital nk...Lakini Ikonda kuna huduma bora na ukarimu wa hali ya juu.Njombe inahospital Nyingi sana mkuu Kuna NJOMBE TOWN COUNCIL HOSPITAL,IKONDA HOSPITAL,IKELU HOSPITAL,NJOMBE REGIONAL HOSPITAL,LUGARAWA HOSPITAL,ILEMBULA HOSPITAL, LUDEWA District Hospital,, achilia mbali health Centre kubwa kama Anglican Health Centre,Tanwat health Centre,NJOMBE HEALTH CENTRE NK..Tunaposema tuna GDP kubwa ndio uelewe kuwa tumepiga hatua kubwa.
 
Sema mna ushamba fulani na hamtembei.tembei
 
Hebu Tuonyeshe huo umaskini uko wap?

Nyie mko Kama Kenya GDP kubwa lakin umaskini Kama kawaida.
Acha upumbavu mkuu hii haitabidikisha ukweli kwamba huko kumetamalaki umaskini.

Afu uache utoto wa kuleta picha za miaka ya zamani,mimi nimekupa current data from trusted source.
 
Back
Top Bottom