😂😂😂😂😂mkuu waulize NBS walizitoa wapi.Ukiniuliza Mimi sitakupa jibu maana sijasomea Mambo ya takwimuHivi hizi report zilizojaa bias dhidi ya Mwanza huwa mnazitoa wapi, na kama Mwanza ni mji maskini basi hii Tanzania ni tajiri sana.
😂😂😂😂😂mkuu waulize NBS walizitoa wapi.Ukiniuliza Mimi sitakupa jibu maana sijasomea Mambo ya takwimuHivi hizi report zilizojaa bias dhidi ya Mwanza huwa mnazitoa wapi, na kama Mwanza ni mji maskini basi hii Tanzania ni tajiri sana.
Usichanganye mkoa wa Mwanza na mji wa Mwanza.Ingetazamwa miji basi Tz isingekua na watu wa kipato duniHivi hizi report zilizojaa bias dhidi ya Mwanza huwa mnazitoa wapi, na kama Mwanza ni mji maskini basi hii Tanzania ni tajiri sana.
Kahama kuna nini ambacho hakipo kwingine?
Migodi hata Congo ipo.Kahama wana mgodi mkubwa wa madini
Huko kwenu kunanuka umaskini,sehemu yoyote ukiona watu wanazaliana sana jua tuu ni maskini na wajinga,starehe ya maskini ni ngono.Hivi hizi report zilizojaa bias dhidi ya Mwanza huwa mnazitoa wapi, na kama Mwanza ni mji maskini basi hii Tanzania ni tajiri sana.
Naona mavumbi tuu hapoHii njombe ina nyumba za chini Kama mwananyamala.
Halafu hapo mji umeisha.
Kama umeingia Google Earth utakuwa umeona bukoba ilivyopana sana.
Hii ni kata ya bilele tu
Halafu acha kulinganisha njombe na bukoba. Size yake ni Rwamishenye au mji wa kemondoView attachment 1894049View attachment 1894050View attachment 1894051View attachment 1894052View attachment 1894053
Ukome usie jua quality ya mji na mtawanyiko wa mji.Kahama ni mtawanyiko wa mji Njombe ni quality town well organised,Mungu akaupatia mazingira asili ya kujisafisha wenyewe.
Usichanganye mkoa wa Mwanza na mji wa Mwanza.Ingetazamwa miji basi Tz isingekua na watu wa kipato duni
Bangi tupu mpaka kwenye mboga. Mijitu ya nyanda za juu meusi mabayaaaaHuko kwenu kunanuka umaskini,sehemu yoyote ukiona watu wanazaliana sana jua tuu ni maskini na wajinga,starehe ya maskini ni ngono.
Uko na Sonona Sana ,😆😆😆😆 kwani weusi ndio ubaya,tufanye sawa ehee nyie weupe sijui wenye mavichwa ya Kona Kona kana burnt bricks ndio wazuri?Bangi tupu mpaka kwenye mboga. Mijitu ya nyanda za juu meusi mabayaaaa
💉💉💉💉 Ukipata picha kama hizi huko migodini Kahama nitagTema mkome kabisa msirudie kulinganisha huko uswekeni kwenu mnakoishi kwenye umande kama manyani na manspaa mpya iliyoko kanda kuu
Hapo mjini ndio kuna Nuka zaidi umaskini,wapi mitaa maskini ya Mbeya Jiji unaweza linganisha na mitaa za mabati na hovyo kama mabatini,kirumba,national,Bugando na upuuzi mwingine kama huo unaopatikana Mwanza mjini? Watu mnaishi kama nguruwe afu unaongea nini?Tatizo huyo Munjombe hajui tofauti ya mji na mkoa. Mijitu ya kusini inavuta bangi toka utoto hayajui kitu. Ni kuyapa pole tu.
Uko na Sonona Sana ,kwani weusi ndio ubaya,tufanye sawa ehee nyie weupe sijui wenye mavichwa ya Kona Kona kana burnt bricks ndio wazuri?
Imagine watu kama kina Dialo na wale watangazaji wa Star TV eti ndio wazuri
Mkuu stress za umaskini zitakuua ,Rudi kwenye hoja,starehe ya maskini ni ngono na hiyo starehe yenu mnaitumia vizuri sana huko lake zone.
Saizi kuna balaa jingine mnalo mercury yaani hamuishi cancer,ualubino na ugonjwa wa miguu.Huko Kanda ya Ziwa kama una akili timamu sio sehemu salama ya kuishi.
Hivi karibuni mgodi mwingine mkubwa zaidi kuliko yote unakuja hapo Sengerema mbona mtakwisha na vile hamna vyanzo vingi vya maji ,subirini mtaona shoo.
Ndiyoo starehe ya masikini ni ngono ndio maana huko Makete mnateketea kwa UKIMWI. Masikini mnapenda sana ngono na makete ndo namba Moja kwa maambukizo ya ukimwi nchini.Huko kwenu kunanuka umaskini,sehemu yoyote ukiona watu wanazaliana sana jua tuu ni maskini na wajinga,starehe ya maskini ni ngono.
Namba yako inbox inisaidie nini? Vile vile sina shida ya kukijua nina shida ya content zako tuu .Hahahahaaaaa. Pole hunjui, sikujui ungejua unaongea na mtu wa namna gani ungekuwa na adabu kidogo. Kwa kifupi karibu Mwanza rafiki yangu. Uje uone nilivyo na ninavyoishi. Niko tayari kukupa namba yangu in box. Pole sana.
Hata mimi nalikubali sana hili kanisani japo naliona kwa nje nikiwa naingia au toka Bukoba Airport. Lile la Njombe nimesali zaidi ya mara 5 ni la kawaida sana mithiri ya parokia iliyochangamka tu.Mtu ukiliangalia Hilo kanisa lako la njombe linavutia kuliko hii cathedral ya bukoba bangi itakuwa imepanda kichwani kabisa
Tanzania nzima Hadi maaskofu wote wanakubali kuwa bukoba cathedral ndo kanisa zuri kuliko yote na ndani yake kazikwa Cardinali wa kwanza mweusi Duniani Kardinali Rugambwa.
Halafu kwenye sekta ya ukatoliki naomba usipatibue utakimbia hapa. Bukoba ni moja ya kitovu Cha ukatoliki nchini.
Hicho ulichopost ni kigango huko bukobaView attachment 1888301View attachment 1888302View attachment 1888303View attachment 1888304View attachment 1888305View attachment 1888306View attachment 1888307View attachment 1888308View attachment 1888309View attachment 1888310View attachment 1888311View attachment 1888313View attachment 1888312
Mbona hiyo Mwanza imezidiwa kitakwimu ya mapato na Mbeya kimanispaa?Ni kweli, tukiingiza Mwanza itakuwa Kama tunaua Mende kwa nyundo, tutawaonea hawa wachimba viazi.
Mbeya ni Jiji tafadhari,hakuna kitu cha maana huko Mwanza wanapiga kelele tuu humuMbona hiyo Mwanza imezidiwa kitakwimu ya mapato na Mbeya kimanispaa?
Jiji la Mwanza ni Nyamagana na ilemela, jumlisha hizo halmashauri mbili uone kama kama inazidiwaMbona hiyo Mwanza imezidiwa kitakwimu ya mapato na Mbeya kimanispaa?
Kijiji kikuuubwa!Mbeya ni Jiji tafadhari,hakuna kitu cha maana huko Mwanza wanapiga kelele tuu humu