Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

dev

developed wapi lake Zone 😀 😀 😀 😀
Naona umeandika neno 'LAKE' hapo, ndiyoo ni LAKE, yaani ziwa. Ni ziwa kubwa kuliko Maziwa yoooote Afrika. Ambapo kwenye hilo ziwa kunajengwa daraja reeefu kuliko yote Afrika mashariki na kati. Ni kanda ambayo hadi Sasa serikali iko Mzigoni kuhakikisha inaunganishwa na jiji kuu la kibiashara kwa reli itakayopitisha treni ya umeme, Ni kanda ambayo iko busy zaidi 'ukitoa dar' kwa trip za ndege za ndani. Ni kanda ambayo toka mwaka 2000 inapeperusha matangazo ya tv nchini na nchi za nje kwa satellite, Ni kanda ambayo toka mwaka 1996 inapeperusha matangazo ya radio nchi nzima na nchi za maziwa makuu, Ni kanda ambayo kuna kampuni ya kutengeneza meli yaani kama Japani tu, Ni kanda ambayo kuna hifadhi bora zaidi duniani 'serengeti', Ni kanda ambayo ndani yake Kuna jiji lenye manispaa mbili na ndani ya jiji kuna national park, nk. Huko kusini vipi?
 
Umesahau kuweka msisitizo kwamba 'kampuni ya meli ya songoro marine ya Mwanza, Kanda ya Ziwa'
Una matatizo ,hapo mwisho nimekuwekea Salam za PM kwa wanafamilia, Songoro marine ni matajiri kutoka Kanda ya Kusini wamekuja kuwasaidia maisha huko kwenu 😁😁
 
We unaota mitumbwi hii ndio ulinganishe na meli kubwa za mizigo za serikali?

Hii mitumbwi yako inabeba magari 3 afu unaita na unalingishia kabisa ? Kuwa serious
Aaaahhhh, nitakuja na fleet za Mkombozi fishing and marine transport hapa uone vyuma.
 
Naona umeandika neno 'LAKE' hapo, ndiyoo ni LAKE, yaani ziwa. Ni ziwa kubwa kuliko Maziwa yoooote Afrika. Ambapo kwenye hilo ziwa kunajengwa daraja reeefu kuliko yote Afrika mashariki na kati. Ni kanda ambayo hadi Sasa serikali iko Mzigoni kuhakikisha inaunganishwa na jiji kuu la kibiashara kwa reli itakayopitisha treni ya umeme, Ni kanda ambayo iko busy zaidi 'ukitoa dar' kwa trip za ndege za ndani. Ni kanda ambayo toka mwaka 2000 inapeperusha matangazo ya tv nchini na nchi za nje kwa satellite, Ni kanda ambayo toka mwaka 1996 inapeperusha matangazo ya radio nchi nzima na nchi za maziwa makuu, Ni kanda ambayo kuna kampuni ya kutengeneza meli yaani kama Japani tu, Ni kanda ambayo kuna hifadhi bora zaidi duniani 'serengeti', Ni kanda ambayo ndani yake Kuna jiji lenye manispaa mbili na ndani ya jiji kuna national park, nk. Huko kusini vipi?
Badala ya kununua Zana za kilimo mkajenga uwanja wa kutua Birds 😂😂😂ndiyo maana hadi Leo mnashika mkia kwenye maendeleo
 
Mwanza jiji kubwa Kanda ya Ziwa

Screenshot_20210814-145543.png
 
Una matatizo ,hapo mwisho nimekuwekea Salam za PM kwa wanafamilia, Songoro marine ni matajiri kutoka Kanda ya Kusini wamekuja kuwasaidia maisha huko kwenu
Unamng'ang'ania hadi marehemu! Kisa ulisikia alifia mbeya!! Ndiyo alifia mbeya alikoenda kikazi na hakuzikwa kusini na wala hakuwa mtu wa kusini, ni damu ya Mara hiyo alikuwa mkazi wa ilemela, Mwanza.
Afu mie sijakuuliza kuhusu marehemu Songoro ambaye inabidi tumuache aendelee kupumzika kwa amani, nilisema kuhusu kampuni ya Songoro Marine yenye maskani yake manispaa ya Ilemela ndani ya jiji la Mwanza ambayo inajenga boti, meli, ferry, nk katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda na Msumbiji. Kumbuka inaitwa songoro Marine ya Mwanza, Tanzania, haya sema 'Songoro Marine ya Mwanza Tanzania'
 
Badala ya kununua Zana za kilimo mkajenga uwanja wa kutua Birds ndiyo maana hadi Leo mnashika mkia kwenye maendeleo
Inafahamika kusini aka matakoni mwa Tanzania ndo inashika mkia, watumishi wa Umma wakipangiwa kusini wanalaza nyasi, hawataki shida. Wanaojikaza kwenda walishawahi kuombewa posho za mazingira magumu ya kazi sijui iliishia wapi, nami nasema wapewe tu kuwafuta machozi.
 
Mkuu nilikuwa sitaki kuingilia huu uzi wenu nikizana ni wa njombe vs kahama, lkn nakuta vitu vya ajabu mara MWANZA imeanza kulinganishwa na vijiji vya walima viazi mviringo, nawaomba muendelee kulinganisha hiyo miji ya kusini na miji mingine MWANZA itoeni huko ni kama kuilinganisha manchester united na team kama za ndanda za njombe mji.
Unamng'ang'ania hadi marehemu! Kisa ulisikia alifia mbeya!! Ndiyo alifia mbeya alikoenda kikazi na hakuzikwa kusini na wala hakuwa mtu wa kusini, ni damu ya Mara hiyo alikuwa mkazi wa ilemela, Mwanza.
Afu mie sijakuuliza kuhusu marehemu Songoro ambaye inabidi tumuache aendelee kupumzika kwa amani, nilisema kuhusu kampuni ya Songoro Marine yenye maskani yake manispaa ya Ilemela ndani ya jiji la Mwanza ambayo inajenga boti, meli, ferry, nk katika nchi za Tanzania, Kenya, Uganda na Msumbiji. Kumbuka inaitwa songoro Marine ya Mwanza, Tanzania, haya sema 'Songoro Marine ya Mwanza Tanzania'
 
Mkuu nilikuwa sitaki kuingilia huu uzi wenu nikizana ni wa njombe vs kahama, lkn nakuta vitu vya ajabu mara MWANZA imeanza kulinganishwa na vijiji vya walima viazi mviringo, nawaomba muendelee kulinganisha hiyo miji ya kusini na miji mingine MWANZA itoeni huko ni kama kuilinganisha manchester united na team kama za ndanda za njombe mji.
Ni kweli, tukiingiza Mwanza itakuwa Kama tunaua Mende kwa nyundo, tutawaonea hawa wachimba viazi.
 
Back
Top Bottom