Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,513
- 8,276
Nafikiaga bukoba Coop pale, napamanya sana bk hadi karagwe na kyerwaKama umefika bukoba utakuwa unapafahamu Rwamishenye. Sasa jamaa kaingia Google Earth kaona bukoba ilivyojengeka Kule city center kaamua alete Rwamishenye km Kama tano kutoka mjini[emoji28]