Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Ofisi mpya za Mkuu wa Mkoa wa Mbeya 👇👇..Mwanza ziko wapi?☝️☝️

Screenshot_20210808-142834.png


Screenshot_20210808-142728.png


Screenshot_20210808-142704.png


Screenshot_20210808-142658.png
 
Mpaka sasa Taasisi za elimu ya juu Mwanza 16 na Mbeya 7. Tukikwambia huijui Mwanza mpaka unataka kulia


IFM
CBE
DIT
TIA
RUCO
SAUT
CUHAS
IRDP
BOT Training institute
Mzumbe
CCOHAS
TIHAS
Open University of Tanzania
Chuo cha Mali asili Pasiansi
Chuo Cha Uvuvi Nyegezi
Nyegezi Social Training Institute

Au tuongeze na Veta na TTC???

Bado FM radio station za Mwanza Jiji tu


Kwa Neema Fm
Living water FM
HHC Fm
Jembe Fm
Passion Fm
Saut Fm
Lake Fm
RFA
Kiss Fm
City Fm
The base Fm
Sayuni Fm
Metro Fm
Mkombozi Fm
Iqra Fm
Afya Radio

hizi Ni radio nilizoziacha Mwanza Jiji miaka mitatu iliyopita, naimani zatakuwa zimeongezeka hata tano nyingine
Mbeya ni Jiji kubwa wewe la Uchumi Kanda ya Nyanda za Juu Kusini,fm radios ziko kama zote,twende Kazi👇👇

Gmcl fm radio,
Must fm,
Dream fm,
Big star fm ,
Rock fm,
Generation fm,
Baraka fm radio,
Bomba fm Radio,
Mbeya Highlands fm radio(Dar&Mbeya),
Radio Furaha fm,
Access fm,
Adonai fm,
Mbeya City fm,
Ushindi fm.

Hizo ni baadhi tuu ziko nyingi sana huwezi kuzimaliza kuanzia Mkuu. Currently we are working for TV stations.

Screenshot_20210810-105122.png
 
Made in Mwanza from the scratch, investments kama hizi Mwanza ni za billon dollars kitu ambacho hata Chugga hawana...
1628586916156.png


1628586994971.png

1628586934170.png


1628587109970.png
1628587125578.png
1628587144921.png
1628587170294.png
1628587185119.png
1628587212211.png
1628587225620.png
1628587274163.png
1628587290557.png
1628587313136.png
1628587353087.png
1628587439217.png


Bado kuna Mwali Mpya Mv, Mwanza II Hapa kazi tu, billion 82

1628587610798.png


Wakizindua Mv. Mwanza inakuja tena nyingine ferry wagon tonne 3000, the largest in the great lakes kabla hamja poa
 
Njombe:ule mnara wa Bukoba na wa Njombe upi unapendezesha mji.Kiuhalisia Mnara Njombe ni super na unavutia kuutazama

View attachment 1887404
Mtu ukiliangalia Hilo kanisa lako la njombe linavutia kuliko hii cathedral ya bukoba bangi itakuwa imepanda kichwani kabisa



Tanzania nzima Hadi maaskofu wote wanakubali kuwa bukoba cathedral ndo kanisa zuri kuliko yote na ndani yake kazikwa Cardinali wa kwanza mweusi Duniani Kardinali Rugambwa.



Halafu kwenye sekta ya ukatoliki naomba usipatibue utakimbia hapa. Bukoba ni moja ya kitovu Cha ukatoliki nchini.


Hicho ulichopost ni kigango huko bukoba
images%20(6).jpg
images%20(5).jpg
images%20(4).jpg
images%20(7).jpg
images%20(8).jpg
Screenshot_20210807-225227.jpg
Screenshot_20210807-225111.jpg
vcfg.PNG
Screenshot%20(20210216-180637).jpg
old%20bk.PNG
cathe.PNG
3.PNG
nbvdh.jpg
 
Haka kamji kweli ni ka village town yaani hii picha imekusanya karibu kamji kazima,hakana tofauti na Lindi.
Kijana. Hio ni sehemu ya kata ya miembeni.
Ni mtaa maarufu wa cathedral hata sio town center.
Mimi nimepost kuonesha bukoba ilivyo na majengo mafupi na mnara mrefu wa kanisa ka Paris.
Usisahau bukoba kulitokea tetemeko 2016


Unajua kilometre za mraba za bukoba wew?
Unajua kutoka kwenda bandarini ni km 6,kwenda airport ni km 7 ,kwenda rwamishenye 5,kwenda katoma ni km 12,kwenda ibura ni km 17,kwenda kahororo veta ni km 14.


Halafu hio city center.
City ni bilele bukoba.
bk%20townn.PNG
 
Back
Top Bottom