Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kkkt Makambako linapatikana jilan na soko kuu na soko la matema katikati na jingine Kama hili lipo mtaa mpya wa masaki
FB_IMG_16235596910897791.jpg
 
Fursa ya utalii hili ni bango lipo iringa road makambako likikukaribisha kutalii na aina ya utalii uliopo ndan ya game reserve iliyopo jilani na makambako town
FB_IMG_16235633604377921.jpg
 
Na hii ni sehemu ya kuchepukia ukiwa unaenda na barabara ya mbeya
FB_IMG_16235633354030712.jpg
 
Eden ya mapori labda
New York,Hong Kong na Nairobi kuna misitu jijini sembuse Njombe?

Acha ushamba miji yote ya kistaarabu ina imepambwa na mandhari ya misitu sio tuu huko makuu hata hapa Tzn,mfano mzuri ni Arusha,Mbeya, Sumbawanga,Babati na mingine mingi ..wewe hujui kitu ..

Vijiji vya kichuuzi na hovyo hovyo kama Makambako ndio havina mandhari ya uoto na misitu.
 
Hilo subiri mwakani tunaangalia maendeleo ya Sasa njombe mnapenda misaada ss mapato yenu yanafanya kazi gani halimashari za wajanja Kama makambako ndo zinafaidi hayo mapato
Hiyo misaada kwa nini haiendi Makambako? Swali la yanakwenda wapi nimekujibu mara nyingi kama hutaki kuelewa ni tatizo lako sio langu.
 
New York,Hong Kong na Nairobi kuna misitu jijini sembuse Njombe?

Acha ushamba miji yote ya kistaarabu ina imepambwa na mandhari ya misitu sio tuu huko makuu hata hapa Tzn,mfano mzuri ni Arusha,Mbeya, Sumbawanga,Babati na mingine mingi ..wewe hujui kitu ..

Vijiji vya kichuuzi na hovyo hovyo kama Makambako ndio havina mandhari ya uoto na misitu.
😄😄😄 Angalio hio miji Ina aina gani ya miti pili pori za njombe huwezi linganisha na hiyo miji
 
Hahahaha na bado lazima maji useme mma maana dalili za kuishiwa hoja usijaribu kugusa miji ya kibabe kama makambako tafutaga miji ya mashamba Kama wa hko
Unachafua Uzi wa heavy weights Njombe Vs Kahama.

Wewe anzisha wa kwako Makambako TC vs Nanyamba TC ndio size yenu.

Kujitutumua mbele ya Njombe unajichosha bure, Regional HQ is something else
 
Kujitutumua mbele ya Njombe unajichosha bure, Regional HQ is something elseku

Unachafua Uzi wa heavy weights Njombe Vs Kahama.

Wewe anzisha wa kwako Makambako TC vs Nanyamba TC ndio size yenu.

Kujitutumua mbele ya Njombe unajichosha bure, Regional HQ is something else
Swala makao makuu ni tofauti na maendeleo ya mji mzee 😄😄😄 usijifariji mikoa mingapi inazidiwa na miji iliyo ndani ya mkoa ko usione aibu kuzidiwa ni swala la kawaida hilo
 
Swala makao makuu ni tofauti na maendeleo ya mji mzee usijifariji mikoa mingapi inazidiwa na miji iliyo ndani ya mkoa ko usione aibu kuzidiwa ni swala la kawaida hilo
Inazidiwa kwa lipi? Kwamba huduma za jamii za Kahama ni bora kuliko Shinyanga?

Kwamba Makambako ina huduma za jamii bora kuliko Njombe? Uliwahi ona wapi hili? HQ ina heshima yake ndio maana hata Dom inapendelew kwa sababu kama hizo
 
Hivi Kahama unaiona kama periphery? 90% ya huduma unazoweza pata Mwanza jiji Kahama mjini huzikosi...
 
Jibu hoja yangu ndio uje na habari za Mwanza
Huduma za jamii zipi Shinyanga inaizidi Kahama?

Mkoa wote wa Shinyanga unabebwa kimapato na Kahama. Serikali inashindwaje kuwekeza kwenye huduma bora za kijamii sehemu inayochuma pesa??

Uache kulinganisha KAHAMA na vitu vya kijinga...
 
Saaa wewe unataka kufananisha Njombe na kahama,Njombe imeshafika mbali iko well planed sio kahama scattered and unorganised town Kama kahama
 
Huduma za jamii zipi Shinyanga inaizidi Kahama?

Mkoa wote wa Shinyanga unabebwa kimapato na Kahama. Serikali inashindwaje kuwekeza kwenye huduma bora za kijamii sehemu inayochuma pesa??

Uache kulinganisha KAHAMA na vitu vya kijinga...
Barabara nzuri,uhakika wa maji, hospital,shule nk

Mzee kuwa tuu HQ ya Mkoa tena Manispaa inapata favour nyingi kuliko Kahama ndio maana ukipewa Rufaa ya matibabu kwa ngazi ya mkoa lazima u drive Shinyanga.

Habari za mapato hapo hazihusiki
 
Back
Top Bottom