Kuingia karibu miji 45 imengia swala ni miji gani ataanza awamu ya kwanza yaani ADA 20,Kijiji chenu hakipo kitakuwa mwishoni mwishoni hukoHahaha ungekuwa unafatilia bungeni unge jua miji gani Ina husika makambako ilisha ingia kitambo au fatilia maswali ya mbunge Alisha jibiwa swali Hilo na akaomba waanze na soko unaongea nn ww makambako Ina wanyima raha kwenye huo mradi imo kazi iendelee
Bweni au kanisa?Kanisa la tag mtaa wa soko kuu makambako
View attachment 1816011
Mbona kama godown?Kanisa la eagt mtaa wa soko kuu
View attachment 1816029
Hii ni warehouse au kanisa?
Mbona imepauka kama ghala la Nfra?Rc nyingine hii asije akakali akajua ni Kama kwao njombe kanisa limekuwa kitambulisho utadhani round about
View attachment 1815569
Hii ni gest haina muonekano wa kuvutia wa hotel kama za NjombeMara hotel hamna hii nn kwote hko ni kukosa point na bado project zinaendelea
View attachment 1815562
Haka kajengo si hata Igawa au Igwachanya kapo? Acha kuchafua Uzi tafuta size yenuKkkt makambako hata majengo ya ibada tupo far
View attachment 1815515
Haka kajengo si hata Igawa au Igwachanya kapo? Acha kuchafua Uzi tafuta size yenum
Hatukushangai si umeisuhiwa hoja najua Sasa ndo umeifahamu kidogo makambako na hebu tukuwekee la njombeHaka kajengo si hata Igawa au Igwachanya kapo? Acha kuchafua Uzi tafuta size yenu
Hahahaha na bado lazima maji useme mma maana dalili za kuishiwa hoja usijaribu kugusa miji ya kibabe kama makambako tafutaga miji ya mashamba Kama wa hkoHii ni gest haina muonekano wa kuvutia wa hotel kama za Njombe
Kama ilivo pauka njombeMbona imepauka kama ghala la Nfra?
Acha dharau Kwan huon watu wenye Pesa zao wana fanya mambo so umekariri ukiona jengo kubwa unajua wirehouse hatukushangai si umezoea kuona kanisa Kama nyumba ya mtu njoo uyaone mabangaloo makambakoHii ni warehouse au kanisa?
Tutaendelea kukupa somo tu tulia idadi ya watu inaongea lazima makanisa yawe makubwa sio Kama nyumba mzeeBweni au kanisa?
Hilo subiri mwakani tunaangalia maendeleo ya Sasa njombe mnapenda misaada ss mapato yenu yanafanya kazi gani halimashari za wajanja Kama makambako ndo zinafaidi hayo mapatoKuingia karibu miji 45 imengia swala ni miji gani ataanza awamu ya kwanza yaani ADA 20,Kijiji chenu hakipo kitakuwa mwishoni mwishoni huko
Ko na hili ni godawn maana ramani ni moja na mkandarasi ni mmoja ya n mtu ukiishiwa hoja kaa kimya