tino shinzo
Member
- Oct 19, 2020
- 10
- 12
Kahama mabenki yapo mengi kuliko njombe. ACB, AZANIA, NBC, CRDB, NMB, TPB, hapo hujawaweka akina FINCA na wadogo zake. Kwa hilo tu, Njombe inaachwa mbali. Kimapato, mgodi wa Buzwagi unatema njulu za kutosha. Pia Kahama ni center kubwa inayohudumia wafanyabiashara kutoka Rwanda, Burundi na Uganda, Mwanza, Shinyanga, Kigoma, Katoro, Nzega, Geita, Simiyu na Ushirombo.Hivi idadi ya matawi ya Bank zilizoko Kahama unaweza linganisha na ubaridini (Njombe)?
Apoo benki zenye mvunguko mkubwa ni NMB, CRDB na NBC izoo kila Kona zipoo na ukiona sehemu Hamna izoo benk izoo tatu Basi apoo Hamna kituKahama mabenki yapo mengi kuliko njombe. ACB, AZANIA, NBC, CRDB, NMB, TPB, hapo hujawaweka akina FINCA na wadogo zake. Kwa hilo tu, Njombe inaachwa mbali. Kimapato, mgodi wa Buzwagi unatema njulu za kutosha. Pia Kahama ni center kubwa inayohudumia wafanyabiashara kutoka Rwanda, Burundi na Uganda, Mwanza, Shinyanga, Kigoma, Katoro, Nzega, Geita, Simiyu na Ushirombo.
Benki zenye umuhimu izoo tuu tatu izoo zingine sio Sanaa. nasema ivyoo kwasababu hazijachangamka Sana nimetembelea branch zake za apaa dsm zimepoa sanaaApoo benki zenye mvunguko mkubwa ni NMB, CRDB na NBC izoo kila Kona zipoo na ukiona sehemu Hamna izoo benk izoo tatu Basi apoo Hamna kitu
Uje kufanya nini wakati huna pesa ,una pesa za wachuuzi ambazo huku hazitumiki
unfortunately hakuna mjinga anaeweza kwenda eti kutalii Makambako hayupo wote watakuja nchi ya ahadi Njombe.
Hiyo mandhari na jiografia ndio vinawaleta sasa.
Pia mwambie huyo Msukuma kwamba Njombe ni mkoa wa kimkakati kwa serikali kwa sababu zifuatazo
1.Uta host mabwawa 4 ya kuzalisha umeme ya Ruhudji,Rumakali,Ruhuhu
2.Utakuwa na migodi mikubwa ya Madini ya chuma na makaa ya mawe Liganga na mchuchuma.
3.Mkoa maalumu wa kufundishia teknolojia za Mazao ya chakula,biashara, mboga mboga na matunda baada ya Arusha ndio maana TARI na TAHA wameweka kambi.Soon tunaanza kulima maua.Hata PM alisema watajenga cold Room pale Songwe Airport maalum kwa bidhaa kutoka Njombe
4.Mkoa maalumu wa kuzalisha Mazao ya miti na bidhaa zake sanjali na wailaya za Mufindi na Kilolo.
5.Ni mkoa wenye nguvukazi ya wachapa kazi
Kwa kuzingatia hayo ndio maana serikali inafungua barabara pande zote zakutoka na kuingia Mkoa wa Njombe tena zinajengwa kwa asphalt na zege tofauti na mikoa mingine mizee.
Cha kukuongezea na wewe ni kwamba shughuli zote hizo zitakuwa centered mkoani yaani mjini Njombe.
Sasa mkoa/Mji kama huu huwezi linganisha na hivyo Vimiji uchwara vya wachuuzi kama Kahama, Makambako, Tunduma nk
Bidhaa zetu zinauzwa Ulaya wewe wageni njaa kutoka Burundi wanakusaudia nini?Mji ambao haupokei wageni kutoka mataifa mengine kama Njombe ni uswekeni tu
Picha za Kahama ziko wapi zaidi ya porojo tupuHivi wewe akili yako iko sawa kweli ? Unalinganisha mji wa Kahama ni hicho kijiji cha Njombe ? Hauko serious
Kumbuka hapo mapato yake ni ya mkoa au huelewi kujengwa njombe sio shida we ongelea ya mji ya kibenaImejengwa Makambako au? Una matatizo wewe
We ndo huelewi kitu Sasa hivyo vihotel uchwara vinautofauti gani na uwekezaji wa visima vya mafuta na kumbuka huu uwekezaji wa visima vya mafuta na gorofa pia unasidia kubadilishana madhari ya mjiHuku ndio kutojiamini yaani hadi vituo vya mafuta ni maendeleo
Kaka utamua maana njocoba tu ilisha kufaKahama mabenki yapo mengi kuliko njombe. ACB, AZANIA, NBC, CRDB, NMB, TPB, hapo hujawaweka akina FINCA na wadogo zake. Kwa hilo tu, Njombe inaachwa mbali. Kimapato, mgodi wa Buzwagi unatema njulu za kutosha. Pia Kahama ni center kubwa inayohudumia wafanyabiashara kutoka Rwanda, Burundi na Uganda, Mwanza, Shinyanga, Kigoma, Katoro, Nzega, Geita, Simiyu na Ushirombo.
Hebu aangalie mradi unaofadhiliwa na India kati ya njombe na makambako wapi wamepewa Pesa nyingi makambako tc billion 41 njombe bl 28 Sasa wapi kutasambazwa zaidi anaongea nn huyoMkuuu miradi ya maji kila Kona ipoo ya kutoshaa Hamna sehemu ambako hakuna mladi wa maji na kuhusu hospitali hataa ss kunahospitali ya halmashauri majengo 7 yamepolomoshwa pale mlowa na kuhusu barabara ya lupembe iyoo asilimia kubwa inawanufaisha watu wa lupembe na ifakara usafili utaimalika maeneo yaoo
Hajaelewa maana ya maendeleo ya mjii m nakwambia tunaangalia na mazingira au muonekano wa mjii na sheli, magorofa vyote ivyoo vinaleta manzari nzuri ya mjii ye anafikili mapato tuu ndo yanatabili maendeleo ya mji Kati hata dodoma imeizidi mwanza kimapato lakini huwezi ukailinganisha na mwanza. Mwanza bado ipo mbaliWe ndo huelewi kitu Sasa hivyo vihotel uchwara vinautofauti gani na uwekezaji wa visima vya mafuta na kumbuka huu uwekezaji wa visima vya mafuta na gorofa pia unasidia kubadilishana madhari ya mji
Miradi ya maji ipoo kila Kona na kwa pesa tuliyopewa apoo inaonesha mradi wa wanging'ombe ndo mkubwa afuu unafwata wa makambako B 42 huwezi linganisha na B29 palefu tumewazidiMiradi hiyo
View attachment 1814910
Na haya ndo matokeo chanya ya mapato ya ndani sio kujisifu tunakusanya Pesa nyingi Zina fanya nnWewe ni msemaji wa Kahama au? Weka video za Makambako kama ya Njombe hapa
Atamuuwa kweli amwache apambane na makambako alietuzidi benki moja tuuuu mkombozi Bank nayoo wameijenga kwasababu ni jimboni s benki ya kanisa iyoooKaka utamua maana njocoba tu ilisha kufa
Atamuuwa kweli amwache apambane na makambako alietuzidi benki moja tuuuu mkombozi Bank nayoo wameijenga kwasababu ni jimboni s benki ya kanisa iyooo