Mwajombe jr
Member
- May 20, 2021
- 84
- 57
Apoo wanasafari ndefu itabidi wapunguze kata ili vijiji vipunguee bila hivyoo itakua ni manispaa yenye vijiji vingi Tz nzima na manispa nyingi zina eneo dogoo makazi tuu ya watu yamejaa tusubili tuone kiongozi yupi ataitangaza kuwa manispaaa wajiandae kisaikolojia asije akawaumbuaaVijiji vingapi nani anstaili kiutwa Kijiji kikubwa
View attachment 1813700
Sasa wewe kwa akili zako wangekuwa hawanufaiki si ungesikia makelele? Ingia kuna tovuti ya Njombe utakuta video ya miradi inayotekelezwa,afu mara ngapi viongozi wa kitaifa kuanzia waziri hadi Rais amekuwa anawapongeza Njombe kwa matumizi mazuri ya pesa kwenye miradi ya kijamii na kiuchumi ya wananchi?Na swala la hati za halimshaur huo ni mchezo wanaojua viongozi kipimo tunataka kuona wanainchi eneo husika wananufaika je mwananchi wa uliwa, utalingolo,itipula , ananufaikaje na hayo mapato Kama kila siku shida ni zilezile hakuna faida
Sasa kama hao ndio wakazi wa Makambako mko wachache sana kuliko Njombe yenye wakazi 130,000(2002 census),nani ana wakazi wengi hapo?Maana tunavo njombe imezidi vijiji wanabisha hii ni hotuba ya kutoka makambako tc na kwa sasa kutokana na uwekezaji makambako vijiji vimefutika kila kona kumejengwa na kuna miradi mikubwa maana kata ya mahongole ndo wamejenga kambi kubwa ya jeshi na Kuna soko kubwa la nyanya pale zinapakiwa kwenye treniView attachment 1813774
Nyie bado sana si taasisi za elimu wala za Afya hamuwezi kusogeza matako yenu kwa Njombe,shindaneni na Nanyamba TC huko ndio size yenuNa tunavo sema kata za pembezoni zipo bize na miradi na wawekezaji ni wengi mfano kata ya utengule wamewekeza hospitali kubwa ya St Joseph pale ikelu ko tayari kumeshakuwa na mitaa pale ukienda kata ya mahongole Kuna kambi kubwa ya jeshi na soko la nyanya kumesha kuwa na mitaa ya maana ukija kata ya kitandililo yamejengwa magodaun ya maharage na kuna mashamba makubwa ya parachichi na kampuni zimewekwa hko makambako kila Kona kwa Sasa full kujengeka
Sisi ni TCyenye components ya huo mgawanyo hapo juu.Makambako ni kijiji kikubwa chenye msongamano wa watu kwenye eneo dogo..periodVijiji vingapi nani anstaili kiutwa Kijiji kikubwa
View attachment 1813700
Acha porojo sisizo na maanaNa mlundikano wa mji wa njombe hata mwenyekiti wa tc mwanzinga alishawai wambia kipindi stendi mpya inaanza aliwambia muende mkajifunze makambako .makambako wenzenu mji umesambaa nI ajabu mji wa njombe unakata ,13 watu wamejirundika kata tatu ramadhani,njombe mjini na mjimwema na bado hata hizo kata wamebanana barabarani kitu ambacho tofauti na makambako mji wenye kata 12 na kwasasa kata zote zipo vizuri makazi ya kuzidi kutokana na ongezeko la watu na uwekezaji uliohamasishwa Yan njombe ni Kama kitongoji na hata mtaalam wa tamisemi atakaye enda kuangalia mji wenyewe atacheka kabla ya kutoa ushauri maana hii ni process hata iringa iliambiwa ifute vijiji ikawezekana kwa njombe ni mtihani ikifuta mapato wanapoteana idadi ya watu watapoteana .maana njombe vijiji vimewazidi idadi ya watu mjini
Mashule kila kona,kuwezesha wanachi kiuchumi kiasi kwamba kila mwaka makusanyo yanaongezeka,vituo vya afya kila kata,shule za bweni,madarasa,zahanati,Halmashauri Kujiendesha na mengine mengi sana.Uwingi wa mapato sio maendeleo nilisha mwelekeza inatakiwa ajiulize toka wanaongoza kimapato kitu gani kikubwa wamewekeza kupitia mapato ya ndani maana makambako anayoisema Ina mapato madogo kupitia hayo mapato wanajenga stendi ,kituo Cha afya kitandililo ,wame nunua magari ya taka ,zahanati hizo ndo zimemwagika balaa ,soko kubwa la mazao kiumba. Mna kipi Cha ziada maana barabara zpo chini ya TARURA nao ndo wamepiga lami za kutosha asilimia 90 centre Ina lami mna jipya na mapato yenu hayo
Inferiority complex..njaa tuu huko uwekezaji gani? Wapi ambako hakuna uwekezaji?Afuu wao kata zao Hamna jipya linaloendelea ka lugenge, matola zipo zipo tuu ila kwa makambako kalibia kata zote zipo bize miladi mikubwa wanaipeleka ukoo kwaiyoo wasishangae sensa ya mwakani wanaambiwa kata zote zipo mjini
😄😄😄Makambako kila kikicha shule Zina jengwa mwaka huu zaidi ya shule kumi zimeongezeka endelea ku bwabwaja na shule zaenzi za ukoloniNyie bado sana si taasisi za elimu wala za Afya hamuwezi kusogeza matako yenu kwa Njombe,shindaneni na Nanyamba TC huko ndio size yenu
😄😄😄Makambako kila kikicha shule Zina jengwa mwaka huu zaidi ya shule kumi zimeongezeka endelea ku bwabwaja na shule zaenzi za ukoloniNyie bado sana si taasisi za elimu wala za Afya hamuwezi kusogeza matako yenu kwa Njombe,shindaneni na Nanyamba TC huko ndio size yenu
Hahaha panya zilizo rundikana kata tatuSasa kama hao ndio wakazi wa Makambako mko wachache sana kuliko Njombe yenye wakazi 130,000(2002 census),nani ana wakazi wengi hapo?
Nyie mumerundikana kwenye kaeneo kadogo kama panya ndio mnajiona wengi wakati Njombe watu wametawanyika kwa sababu eneo lipo la kutosha
Unachafua uzi wa ma heavy weight Njombe vs Kahama ,anzisha uzi wa Makambako vs Njombe ndio uweke huo ushuzi wakoEneo ni kubwa jinga mapori yametawala si Bora umiliki eneo dogo ambalo kila mmoja atanufaika na kumbuka watu wa vijiji vya njombe wanalia na barabra hazipitiki maoni Kama hayo hawawezi kuweka kwenye page yao we vp
Eg Hagaflo ni taasisi ya miaka ya kimkoloni?😄😄😄Makambako kila kikicha shule Zina jengwa mwaka huu zaidi ya shule kumi zimeongezeka endelea ku bwabwaja na shule zaenzi za ukoloni
Makambako idadi ya watu ni kubwa tofauti na njombe wanao kaa vijijin hko hata growth rate makambako ni kubwa kuliko mashambani hko unavotoa point hebu jaribu hata kufatilia mwaka 2002 njombe ilikuwa na watu 40000 wakati makambako ikiwa na watu zaidi 50000 bado mapato makambako ikawa juu Sasa nani alibebwa Kama sio njombe na bado hadi saiz mnataka kubebwa hii itakuwa ndo manispaa ya Kwanza yenye wakaz asilimia 85 ni vijiji
huifahamu njombe kumbeBora usiende hiyo hela pigia supu tu Kuna miji ya kwenda kutalii sio njombe ukipita barabara kuu kila kitu umekiona Kuna haja gani ya kushuka maana kila huduma wameweka barabara kuu kutokana na jiografia mbovu ya mji wao maana soko , makanisa, ofisi no vyote vipo main road tofauti ilivyo miji mingine hata mtu akienda kutalii ana enjoy anapita mitaa tofauti tofauti sio kwa njombe ukichepuka mita 200 tu unakutana na bonge la korongo na bustan za mboga hapo ukiwauliza wanakwambia ni mjini kati
Kule mbele kuna structures nyingi Sana kali,kuna jengo la ghorofa kama sita hapo halijakamilikamkuu tazama hii video usisikilize kinachoimbwa bali tazama mji kwa juu then linganisha na Kahama au makamba,zingatia pia kuwa kuna structure za kutosha kule mji mwema,uzunguzi hazija wekwa kwenye hii video