Na mlundikano wa mji wa njombe hata mwenyekiti wa tc mwanzinga alishawai wambia kipindi stendi mpya inaanza aliwambia muende mkajifunze makambako .makambako wenzenu mji umesambaa nI ajabu mji wa njombe unakata ,13 watu wamejirundika kata tatu ramadhani,njombe mjini na mjimwema na bado hata hizo kata wamebanana barabarani kitu ambacho tofauti na makambako mji wenye kata 12 na kwasasa kata zote zipo vizuri makazi ya kuzidi kutokana na ongezeko la watu na uwekezaji uliohamasishwa Yan njombe ni Kama kitongoji na hata mtaalam wa tamisemi atakaye enda kuangalia mji wenyewe atacheka kabla ya kutoa ushauri maana hii ni process hata iringa iliambiwa ifute vijiji ikawezekana kwa njombe ni mtihani ikifuta mapato wanapoteana idadi ya watu watapoteana .maana njombe vijiji vimewazidi idadi ya watu mjini