DaNyama inaitwaje au bucha ni kiwand a siku hizi 😀 😀 😀 😀 ,taja hizo dawa..gysum hata mimi natengeneza kwangu
Anaelewa population density inaongea wap kwenye population ya makaz na wapi Kuna mashamba mengiMkuuu kwenye idadi ya watu makambako wapo wengi wee cheki population density ya makambako n kubwa kuliko njombe kwaiyoo eneo kubwa ni makazi ya watu tofauti na njombe ambayo mmetuzidi ukubwa Mara tatu lakini population hamjatuzidi Sana nyie eneo kubwa ni mashamba na vijiji
Anaelewa population density inaongea wap kwenye population ya makaz na wapi Kuna mashamba mengi
Yan tunavo wambia makambako imesambaa makazi tu wanakuwa wabishi na data zinaonge wamejaza vijiji na mashamba tu ndo et wajilinganishe na makambako😄😄😄😄😄 na figure hiyo Ina jumuisha kuwa makambako ndo mji wenye makazi mengi mkoa wa njombe una shika namba mojaView attachment 1813307 mwambie acheki iyoo data population density 125 kwa 47 wap wap huwezilinganisha izoo sehemu ndoo maana tunasema njombee vijiji. Na misitu mingii sanaa
Wamesaai iyoo wenyewe wanaangalia idadi ya watu tuu wanging'ombe wamewazidi idadi ya watu hata population density kwaiyoo apoo inamaanisha njombe Tc pupulation yake n ndogoo kuliko wanging'ombeHaya Sasa njombe tunavo wambia mapori mengi mna bisha kimkoa mji wenye makazi mengi wa Kwanza ni makambako tc ya pili wangingombe ya tatu ndo njombe tc ya nne ni njombe dc na ya tano ludewa ya sita makete
Eneo lao kubwa ni poli hata ukiangalia population Ina maanisha makambako Ina wakazi na makazi mengi yaliyo organized kuliko njombe ambapo eneo kubwa ni mapori niliwambia njombe ndo mji wenye mapori makubwa nyanda za juu kusini hebu angalia miji yote ya nyanda za juu kusini utapata jibu tatizo wanapenda kuforce mamboWamesaai iyoo wenyewe wanaangalia idadi ya watu tuu wanging'ombe wamewazidi idadi ya watu hata population density kwaiyoo apoo inamaanisha njombe Tc pupulation yake n ndogoo kuliko wanging'ombe
Eneo lao kubwa ni poli hata ukiangalia population Ina maanisha makambako Ina wakazi na mengi yaliyo organized kuliko njombe ambapo eneo kubwa ni mapori niliwambia njombe ndo mji wenye mapori makubwa nyanda za juu kusini hebu angalia miji yote ya nyanda za juu kusini utapata jibu tatizo wanapenda kuforce mambWamesaai iyoo wenyewe wanaangalia idadi ya watu tuu wanging'ombe wamewazidi idadi ya watu hata population density kwaiyoo apoo inamaanisha njombe Tc pupulation yake n ndogoo kuliko wanging'ombe
Yani mtu unachukua wilaya nzima Kama ilivyo wangingombe unaita mji alafu unategemea kumaliza tatizo la barabara 😃😃😃😃 si vituko hivyo makambako inaendelea kupeta tuEneo lao kubwa ni poli hata ukiangalia population Ina maanisha makambako Ina wakazi na makazi mengi yaliyo organized kuliko njombe ambapo eneo kubwa ni mapori niliwambia njombe ndo mji wenye mapori makubwa nyanda za juu kusini hebu angalia miji yote ya nyanda za juu kusini utapata jibu tatizo wanapenda kuforce mambo
Wewe na washabiki wako ni wajinga kuwa na population density kubwa manake mumelundikana Eneo dogo sasa hapo ni hasara au faida?Population density ya miji ya nyanda za juu kusini iringa mc eneo 369km sq ,mbeya jiji 253km sq ,tunduma87.5 km sq ,songea 596km sq ,mafinga 573km sq sasa njombe ndo vituko zaidi ya elfu tatu wakati makambako ni Zaid ya Mia nane yani njombe hawakujifunza kwenye miji iliyotangulia
Siku ukipata akili japo kiduchu hutokaa uandike pumba.kwa vigezo vya njombe na wilaya ya wangingombe inatakiwa iwe manispaa yote
Mkuu makambako imesambaa ndo Mana unaona kata nyingi zipo mjini kasolo tatu na kwa data za 2012 zinaonasha rural na urbani population inaongezeka kwaiyoo haturundikani nyie ndo mmelundikana kata ya njombe mjini na mjimwemaWewe na washabiki wako ni wajinga kuwa na population density kubwa manake mumelundikana Eneo dogo sasa hapo ni hasara au faida?
Njombe hatujarundikana Eneo dogo tuna Eneo la kutosha.
Hoja ya msingi ni je nani wako juu ya mwenzie kiuchumi badala ya kupiga kelele kama walevi wa ugimbi.
Nataka muweke hoteli kali kama za Njombe,nataka mnipe idadi ya majengo ya ghorofa Kati ya Njombe na hivyo vijiji mlivyosongamana.On top of that nataka mlete Takwimu za mapato Kati ya hivyo vijiji vyenu na Njombe badala ya kulia Lia kama chiriku mara Eneo kubwa mara mapoli nk.
How comes pori linazalisha pesa kuliko Mji? Huoni hiyo sio miji bali vijiji vikubwa?
Mapato sio tatizo Kaka unaweza kuwa na mapato mengi lakini viongozi hawayatumii vizuri ndo tatizo naloliona Apo njombe mfano stendi mpya ilichukua muda mwingi mbaka magufuli kawafosi ianze kazi kwaiyo viongozi wenu n tatizoo ilooo kwaiyoo itabidi ujiulize ayaa mapato tunayopataa yanatumika ipadavyooSiku ukipata akili japo kiduchu hutokaa uandike pumba.
Nataka majibu hapa inakuaje kwenye pori (Njombe TC) kunazalisha pesa nyingi kuliko mjini(Makambako)?
Tunduma ilipata hadhi pamoja na Makambako,wao wanaonesha kwa vitendo kwa kukusanya pesa ya kutosha sasa hapo kwenu Veep? Makambako ni Mji au kijiji kikubwa?
Jibu hoja Acha porojo za kusambaa sijui nini.Mkuu makambako imesambaa ndo Mana unaona kata nyingi zipo mjini kasolo tatu na kwa data za 2012 zinaonasha rural na urbani population inaongezeka kwaiyoo haturundikani nyie ndo mmelundikana kata ya njombe mjini na mjimwema
Usilete hadithi za kufikirika,Njombe haijawahi pata hati chafu Mapato yote yanatumika ipasavyoMapato sio tatizo Kaka unaweza kuwa na mapato mengi lakini viongozi hawayatumii vizuri ndo tatizo naloliona Apo njombe mfano stendi mpya ilichukua muda mwingi mbaka magufuli kawafosi ianze kazi kwaiyo viongozi wenu n tatizoo ilooo kwaiyoo itabidi ujiulize ayaa mapato tunayopataa yanatumika ipadavyoo