Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Ndo tunakomaa huku tunakusomesheni namba kwenye kijiji chenu kikubwa hichoKomaeni na vijiji vyenu
Ndo tunakomaa huku tunakusomesheni namba kwenye kijiji chenu kikubwa hichoKomaeni na vijiji vyenu
kwa utaratibu wa maofisa Ardhi kuchukua mishahara na kubaki ofisini bila kwenda site wakisubiri mafungu ujenzi holela ni lzm Hakuna namnaUkuaji ni wa kasi kwa miji yote ila ni ukuaji holela, mipango miji wamejitenga na wananchi matokeo yake ujenzi holela unatamalaki.
Sie tunaoanzisha mnyororo wa thamani ndio tunapata pesa za moja kwa moja na tuko wengi kuliko wachache wanaoajiriwa kwenye viwanda na vikodi vichache vinavyolipwa na kiwanda.Na kitu kingine usicho jua Yan njombe wamekazaniwa kuwa walime raw material viwanda ni makambako na ndicho kilichopo mufindi dc na mafinga tc
Kwa zama hizi za dijitali kuna ulazima wa kufika kweli? picha zinaongea,za Njombe zimejaa humu wapi za kahama?Wewe umefika Kahama au unasema tu ?