😛 😛 😛 😛 Mkuu acha kutapatapa,hayo mnayoita makadirio yameongezeka hamtakaa muyafikie maana kila mwaka mnakadiriwa vihela kiduchu lakini hamfikii wakati sisi Njombe TC huwa tunavuka malengo kila mwaka,mwaka huu unaoishia tunatakiwa kuvuka 6.7b wakati hicho kijiji chako kiko kwenye 2.8b ambapo hadi mwezi march 2021 kwa hiyo trend ya 60% hamtafikia Ilhali Njombe TC tutavuka malengo kama kawaida yetu na kuingia ligi za wakubwa.Makaisio ya mwaka ujao wa fedha yameongeeka kidogo but baada ya reconciliation automatic wataongeza kwa sababu watakuta tumefikia 7b.
Hii 7b tutakaa nayo kwa kipindi hadi hapo tutakapoongeza economic activities,hizo ni pesa nyingi sana kwa halmashauri maana kuna manispaa kibao hazina hayo mapato.
Ndi maana nilikuwa nawashushua hata Wachuuzi wenzenu wa Kahama kwamba Njombe kungekuwa hakuna pesa hakuna mtu angejenga mahoteli kule.Sasa mkuu badala ya kupinga unatakiwa kutoa kongole kubwa sana kwa kaka yako Njombe kwanza kakulea pamoja na kelele unazopiga.
Sasa hiyo wilaya ikianzishwa itaiathiri nini Njombe hasa maana watakaoathirika na hilo ni Njombe DC na sio Njombe TC.Kwani tulivyowazaa nyie Makambako na Wanging"ombe DC tumeathirika nini? Mkuu unatakiwa ujue kwamba unavyozungumzia mapato ya Mkoa wa Njombe technically unazungumzia Njombe DC na Njombe TC nyie wengine mnajazilizia paliposalia