Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Ndo maana tuna sema fika eneo husika na bado kuna bonge la hotel lenye madhar kali zaidi ya hii bdo halija zinduliwa soon itakuwa yayari hii ni ndani ya mji wa makambako
FB_IMG_16230853408310752.jpg
 
Makambako town hii ni Iringa road full kujenga
View attachment 1811694
TANZAM Highway mbona hata Igawa pazuri sana, hii siyo mradi per see wa Mji wa Makamabako bali ni mradi mkubwa wa Barabara unaofadhiliwa na World Bank. Anyway umepitia Makambako ni faida, lakini pia hata kule Mbaralali(Igawa) pamewekwa vizuri na hiyo ni sera ya sasa kila mji unapopitia mradi huo kuna kitu kikubwa kinafanyika. Rejea mji wa Mafinga.
 
FB_IMG_16230886018991816.jpg

Kazi inaendelea mitaan
 
Wawekezaji wanaendelea kufanya yao hiyo ni mall ndan ya makambako town songea road
IMG_20210409_104917~2.jpg
 
Back
Top Bottom