Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Tu force ili iwaje? Ndio ukubwa wenyewe huo wa Mji wa Njombe.Safi 😃😃😃 huo uloo wenu wa ku force mambo lazima mtandao wa barabara uwe mkubwa ko tegemea makambako kuwa kivingine zaidi ya Sasa maana ndo tunaanza lami pembezoni kwenye uwekezaji mkubwa wa makampuni maana umeme kila Kona upo
Afu Njombe sio hadhi yenu hadi tubishane kuendelea ni kuikosea heshima,hicho kijiji hakina hata miaka 10 toka kimezaliwa.
Nakushauri utafute vimji mnavyofanana kama Nanyamba TC,Ifakara TC,Nachingwea TC nk ndio uwatambishie ,Njombe tuko level ya Manispaa na Makao makuu ya Mkoa hao ndio level yetu..Kimapato tuko juu ya Manispaa 10 na tuko juu ya Halashauri za Miji 24 sasa hapa unaona unaweza kufanya ligi na Njombe kweli?