Kahama VS Njombe/Mafinga

Zao la chai unaliweka wapi?
True mkuu ,sio tu chai hadi viazi mviringo na Mazao mengine ya matunda matunda.Tuko vizuri kwa kweli

Na Serikali ikitengeneza mnada wa Chai Njombe Ili wilaya zingine zilete bidhaa zao mnadani Njombe mambo yatakuwa fire zaidi
 
Pia Njombe wanalima sana chai.
 
Maana tulivokuwa tunawambia makambako inapiga gap njombe mlikuwa mnakataa ikiwa makambako mwenyekit wa mji aruhusu wadau waongeze bajaji zifike 2000 ili kukidhi ongezeko la watu. Na kwa jinsi ulivotanuka kwa Sasa wakati njombe wanabajaji 250 alafu kuna mgomo wanasema nyingi mno tuliwambia muda utasema na barabara za lami za mitaa kimkoa makambako inaongoza wamejenga km 18 na bado wanaendelea wakati njombe ni km11 kutokana na TARURA MKOA WA NJOMBE na bado mtasubiri mwezi wa Saba stendi ya makambako inaanza kujengwa
 
Makambako sijawahi ona Daladala sasa bajaji si ndio suluhisho.Usilazimishe Makambako haiwezi kuizidi Njombe,Kuna sababu nyingi,Moja Njombe ni administrative Town, Hivyo ni added advantage ya mzunguko wa fedha na uwekezaji,Pili kimandhari Njombe mjini panafaa kwa makazi kuliko Makambako ndio maana hata wakoloni walikimbilia Njombe kuliko Tambalale za kuanzi Kibena chai hadi Wanging'ombe,Tatu Njombe mjini ardhi inathamani kuliko makambako,na pia Njombe mjini inafaidika na kuzungukwa na ukanda wa kijani zaidi ndio maana karibia asilimia 70 yote ya mazao ya mkoa Njombe yanapitia Njombe Mjini,Makambako mji na Njombe mji wote ni watoto wa halimashauri ya wilaya ya Njombe hivyo kukua kwao ni kwa faida ya wote haina haja ya kushindanisha maana Njombe mji ni mama na Makambako ni mtoto.Mama na mwana hawapaswi kushindana
 
Mambo yame change daladala makambako zimepelekwa rut za makambako to ilembula makambako to kitandililo nmakambako to njombe na makambako to igwachanya ko we ukiona mji bajaji 250 wanasema nying mno bro huo mji bado mdogo mno kuwa makao makuu sio kigezo alafu saiz ni zama zingine mambo ya wakolon yalishapita ilikuwepo miji ya kilwa iko wap ss na ujenzi wa nyumba za kuishi mk ipo mbali mno na unavosema mazingira ya kuishi kumbuka njombe kuna mitaa gar haziingii na mingi ni milima kuna uhaba wa viwanja tofaut na makambako ambako kila Kona kupo flat ko watu wanajenga bila vikwazo tofaut na njombe waliachia misitu sehem nzur wakaenda milimani
 
wewe zile siyo daladala ama huelewi maana ya daladala,Ilembula to Makambako haiwezi kua Daladala,Makambako to Njombe sio Daladala tunazungumzia zile za mjini kati
 
wewe zile siyo daladala ama huelewi maana ya daladala,Ilembula to Makambako haiwezi kua Daladala,Makambako to Njombe sio Daladala tunazungumzia zile za mjini kati
Mjini kati hzo zilisha kimbizwa ndo maana wamejiongeza ni Kama njombe kwa Sasa wanahitaji kujiongeza
 
wewe zile siyo daladala ama huelewi maana ya daladala,Ilembula to Makambako haiwezi kua Daladala,Makambako to Njombe sio Daladala tunazungumzia zile za mjini kati
Mjini kati hzo zilisha kimbizwa ndo maana wamejiongeza ni Kama njombe kwa Sasa wanahitaji kujiongeza
 
Ni daladala hata ukienda latra ndivo zilivo sajiliwa na ndo rut za daladala
 
wewe zile siyo daladala ama huelewi maana ya daladala,Ilembula to Makambako haiwezi kua Daladala,Makambako to Njombe sio Daladala tunazungumzia zile za mjini kati
 
wewe zile siyo daladala ama huelewi maana ya daladala,Ilembula to Makambako haiwezi kua Daladala,Makambako to Njombe sio Daladala tunazungumzia zile za mjini kati
 
Hicho kijiji chenu nilishakizarau Sana maana kinaonyesha dhahiri kimejaa wqchuuzi wanaoganga njaa tuu.

Angalia mwenyewe figures za mapato hapa chini Makambako ni aibu .Fy 2019/20 na 2020/21

Njombe TC by the end of this year tunafikisha 7 bln tunaingia ligi za Wakubwa.

Makambako inaulet down mkoa wetu yaani mnazidwa mapato hadi na Halmashauri ya Njombe DC,Vimiji uchwara kama hivi wangevifuta tuu kuliko kutia aibu kiasi hiki huku makelele kila kila siku.Bila Njombe TC hakuna Mkoa wa Njombe. View attachment 1783391
 
 
Tumehama weight/division.. tuko kwenye Mikanda ya Manispaa.. huko mijini mpambane wenyewe.. Hatupendi kuoneana.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
By the way unajua kwamba Mwenyekiti wa wachimbaji wa madini wadogo Kitaifa ni Alfred Luvanda? Huyu ni Mwenyekiti wa wachimbaji wadogo wa Mkoa wa Njombe na Taifa.

Afu msikariri kwamba madini yanapatikana Kahama tuu lakini NDC imeshika ardhi karibu nusu ya Mkoa wa Njombe kwa ajili ya potential ya Madini mengi yaliyopo.

Mkichimba madini yenu msisite kutustua tununue sisi ndio tunapesa
 
Mkakati wa NBS kwa sensa mpya. Matokeo ya sensa hii ni muhimu sana kwa mustakabali wa Halmashauri zetu kwenye nyanja za kiuchumi, kijamii na kisiasa. Mwenyezi Mungu atupe uhai tu tufike.
Mkuu idadi ya watu haitakusaidia Sana maana Mwanza cc plus Ilemela ina watu wengi lakini mapato ni kiduchu kuliko Dodoma Jiji.

Mwanza mkoa una watu wengi lakini per capita ni ndogo Sana mumepitwa hadi na Mkoa wa Njombe sasa sijui unataka kusema nini.

Kuzaana hovyo huku hamuwekezi kuwa na nguvu kazi yenye ujuzi na maarifa wote mnaishia kuwa maskini mnatia hasara Sana nchi yetu nyie wasukuma.
 
Utaongeleaje uchumi bila watu????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…