Kahama VS Njombe/Mafinga

Kweli kabisa kahama inamabasi mengi
 
Wale mliokuwa mnafananisha mapato ya Halmashauri pdf ya Tamisemi hiyo hapo angalieni kuanzia pg ya 152

Simple analysis mwaka wa fedha 2019/20 Kahama 7.1bln less Njombe 5.6 bln,,mlituzidi only 1.5 bln

My take kasi hii ya Njombe Hadi 2025 tutakuwa tumekikalisha hicho kimji cha kichuuzi.

Mpiga pambio wenu Makambako ni takataka hakuna chochote pale zaidi ya guests na viduka vya akina Mangi.

Mwaka huu wa fedha 2020/2021 nitoe pongezi kwa Uchuuzi town Kahama kwa kuvuka malengo huku imesalia miezi 4 ya kufunga mwaka.Hata hivyo Njombe tutaivunja rekodi ya mwaka uliopita na kuingia kwenye mark ya bil.6 maana hadi sasa tuna 5 bln View attachment HOTUBA YA WN OR TAMISEMI 2021.22.pdf
 
unazingua mkuu sensa gani uliifanya ukajua kuwa katoro kuna watu elfu 50 acha ujinga katoro mji ambao unasifika Tanzania nzima yaan isipokuwa makini katoro itaipiku mda si mrefu mark my words
Hicho kijiji labda kitaipiku buselesele huko
 
Kweli kabisa kahama inamabasi mengi
Wapi hakuna mabasi mengi? Njombe barabara zilikuwa changamoto lakini pia umbali na miji mingine ya mikoa ni changamoto ukilinganisha na Kahama.

Lakini barabara zinapofunguliwa route za kwenda mikoa mingine zitakuwepo hususani Mwanza na Kahama .Kwa sasa route ndefu ni Njombe Arusha,Njombe Dar but miji ya karibu kote mabasi yapo.

Hata hiyo Kahama hakuna mabasi ya kuja Mbeya,Iringa au Sumbawanga kwa sasa
 
Acha porojo mkuu, Makambako ni kijiji tuu,ona mapato ya Njombe TC vs Makambako TC,, yaani Makambako mnaingia mara 2 na chenji inabaki

Soma hiyoo

View attachment 1757999
 
Watu wa Kahama wamekimbia jukwaa na kusanda huku wapambe wao Makambako wanaona aibu kwa yaliyowapata
 
Kahama ni bora kuliko huko uliko kutaja, ni manispaa inayo kua kwa kasi kuna mabenki ambayo hata baadhi ya mikoa haina. Jiji kubwa la kibiashara kwa kanda ya ziwa na afrika mashariki kwa miaka 20 ijayo.
Kupata vichekesho kama hivi , subscribe huu uzi
 
Kupata vichekesho kama hivi , subscribe huu uzi
Mkuu turudi hapa kwenye Uzi wako , vip Kahama na njombe
 
Saizi mmekua kimapato lakini kihuduma zingine bado

Hapo juu nimetoa credit kwa Kahama but nimesema nyie mumesogea Kwenye 7b na sisi tunachukua nafasi mliyokuwa nayo ya 6b

Mpaka hapo nadhani na wewe umepata picha kwamba kumbe Njombe ni kuna pesa sio mchezo.Njombe TC inabeba mkoa kama Kahama MC inavyobeba Mkoa wa Shinyanga.

Mind you sekta yetu mama ya Mazao ya misitu na avocado ikiimarika vizuri tutawapoteza Sana maana tuko fasta ku close gap la around 2.5 b
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…