Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Watakuambia huko ni msituni na mashambani .Njombe sio level zenu nyie watu wa Kahama
Kilomita 40 kwa KAHAMA unakuwa umeivuka Isaka, unakaribia Makao makuu ya Ushetu, Unakuwa uko Segese na unakaribia Makao makuu ya Mbogwe DC.. imagine kwa umbali huo KAHAMA inatakiwa ishindane na Arusha kwa sasa maana hata mbeya haitaifikia
 
View attachment 1700957View attachment 1700958View attachment 1700959View attachment 1700960View attachment 1700961View attachment 1700962
Mchoro stendi mpya Kahama....
Leta actual things sio render,Kahama mnaweweseka Sana

Njombe stand hii hapa
PIC%2B1.JPG
maxresdefault-3.jpg
thumb_275_800x420_0_0_auto.jpg
 
Kilomita 40 kwa KAHAMA unakuwa umeivuka Isaka, unakaribia Makao makuu ya Ushetu, Unakuwa uko Segese na unakaribia Makao makuu ya Mbogwe DC.. imagine kwa umbali huo KAHAMA inatakiwa ishindane na Arusha kwa sasa maana hata mbeya haitaifikia
Hicho Kijiji chenu kinasikitisha kiukweli

Afu ukome kulinganisha Jiji la Mbeya na huo uchafu wa Kahama ,umeanza kukosa adabu.

Umeshindwa ku justify status ya Kahama kwa Njombe afu unaanza ujinga
 
Vipicha vya hovyo kama hivyo tumevikataa
IMG_20210213_080950.jpg

Mkuu mbna umepost mandhari ya slums tupu hatujakataa au Kwa vile nyani haoni kundule🤣🤣 hyo mandhari ya Kahama Safi Sana mkuu, we Baki na stendi yako ya vibasi viwili vitatu na coaster , wakat Kahama ndo wilaya pekee nje ya makao makuu ya mkoa yenye route za mabasi ya mikoani almost kila mkoa ,
 
Kilomita 40 kwa KAHAMA unakuwa umeivuka Isaka, unakaribia Makao makuu ya Ushetu, Unakuwa uko Segese na unakaribia Makao makuu ya Mbogwe DC.. imagine kwa umbali huo KAHAMA inatakiwa ishindane na Arusha kwa sasa maana hata mbeya haitaifikia
Mbeya haitafikia kwa vipi. Kutoka Uyole hadi Mbalizi ni kilometa 30, hapo sijasema Igawilo-Mbalizi. Acheni kujipa ujiko usiostahili
 
Mbeya haitafikia kwa vipi. Kutoka Uyole hadi Mbalizi ni kilometa 30, hapo sijasema Igawilo-Mbalizi. Acheni kujipa ujiko usiostahili
Mbona unakuwa mkali.. kwa hiyo unataka kusema catchment ya jiji la mbeya ni kilomita 80!? Maana Hata Dar Haifiki hiyo!
 
Mtu analeta Prototype hizo ziko nyingi kila mji na iko miradi mingi ya hivyo haijatekelezwa kwa couple of years now.
Ipo miji mingi miji ipi hyo? Jombe washajenga stend yao , Kahama inajengwa na eneo lishatengwa , Jiwe kasema ni manispaa now hatutegemei delay Kwa huo mradi, na eneo tayar lishatengwa cse Kahama recently haina stend kabisa , istoshe Kahama ina route nyingi za mabasi ya Mikoani kuliko jombe , ....

Mradi wa hospital unaendelea na picha za mchoro tumeweka na construction site jengo la OPD tumeweka ...
 
View attachment 1700957View attachment 1700958View attachment 1700959View attachment 1700960View attachment 1700961View attachment 1700962
Mchoro stendi mpya Kahama....
unaleta mchoro wakati Njombe stendi Mpaya tayari inatumika
 
Kwa hyo ulitaka stendi itokee Tu angani 😂
hapa tunaongelea vilivyopo sio vitu kama ni hiyo michoro tu hata stendi mpya ya Njombe ilikua na mchoro lakini ujenzi wake umekua toafauti na mchoro wa awali mkuu.Nikukumbushe kua tulikua na Industrial drawings za mchuchuma na Liganga lakini hadi leo tunaendelea kutazama michoro toka 2013
 
Kipind cha kikwete michoro ilikuwa inabadrika hovyo hovyo ndo mana mlijenga stendi la hovyoo, la kupaki coaster , huo mchoro wa kahama ni wa 2018 na umefanyiwa marekebisho baada ya amri ya Jiwe kuwa Kahama iwe manispaa....
Sababu Kahama ipo busy na route nyingi za mabasi inatarajiwa mchoro kuongezewa ukubwa na majengo ya ghorofa ...
 
Back
Top Bottom