we jamaa umeishiwa kabisa tulianza kuzungumzia miji we unaleta story magari yaani unataka tuanze kutafuta wamiliki wa magari. That will be ridiculous
Ahahahaaaa,Soma comment ya chaza
Hivi Makambako kuna basi liendalo miji ifuatayo:
1. DSM
2. Dodoma
3. Morogoro
4. Mtwara/ Masasi
5. Sumbawanga
6. Mwanza
7. Tanga
Kama hayapo, hapo tayari kinakua ni kijiji, maana kwa Kahama wana mabasi kutoka maeneo tofauti tofauti, hapo ni kuonesha bado hicho kimji hakijitoshelezi! Gari nyingi zinaanzia Njombe, Songea, Mbeya na Tunduma!
Kwani Kahama, Singida, Iringa hakuna gari zinazopita miji hiyo, mbona wana magari yao, hiyo inaweza isiwe sababu. Sababu ni udogo wenu na utegemezi wenu kwa Njombe na Mbeya, hakuna lingine.Sasa utawekaje route hizo kunagari zinapita hapo kwa muda mwafakaka nyie kutoka njombe Kama unaenda mwanza lazima uje makambako ss hatuna shida
Comment yangu na au swali langu lilianza baada ya wewe kuweka mabasi yanayopita Makambako(tena yanayopita tu, siyo yanayoanzia), ndipo nikataka kujua kama kwa mji mkubwa unayo magari yanayoanzia hapo kwenda maeneo mbalimbali ya Tanzania au ni tegemezi?Soma comment ya chaza
Soma comment ilimaanisha nnComment yangu na au swali langu lilianza baada ya wewe kuweka mabasi yanayopita Makambako(tena yanayopita tu, siyo yanayoanzia), ndipo nikataka kujua kama kwa mji mkubwa unayo magari yanayoanzia hapo kwenda maeneo mbalimbali ya Tanzania au ni tegemezi?
Jambo usilo lijua Ni jiografia ya mkoa wa njombe ikoje na wapi Kuna wakazi wengi na kunazidi kujaa ndo maana nilikwambia usipende kusimuliwa tembelea eneo husika huu mkoa wa njombe una Kanda mbili ya kasikazini na kusini ambapo kasikazini mji mkuu Ni makambako na huu ukanda unaanzia wangama ,igwachanya kidugugala ilembula ,wangingombe mtwango kitandililo nk na ndio ukanda wenye wakaz wengi na unakua kwa Kasi ili kudhibitisha Hilo hata crdb kwenye hafla ya kufungua mwaka wakiwa na mkuu wa mkoa waliongea pia wamefungua matawi 6 ya benki yao kwenye hii zone ambapo yapo igwachanya ,ilembula ,mtwango,wangingombe, kidugala ambapo baba lao Ni makambako hata ongezeko la daladala Ni kubwa zinazo kuja makambako kutoka sehemu hiz Ni tofauti na zone ya njombe ambayo barabara yenye kas ya ongezeko la watu Ni ya makete t zingine Ni mashambani na miti milima imetawala unatembea km nyingi Ni misitu tu ko biashara Ni watu na position ya mji ulipoKifo cha hako kakijiji ka wachuuzi ka Makambako ni kukamilika kwa hizi road hapa View attachment 1702020
kahama=tabora mjiniKwahiyo!
Ni mtizamo wako HATUKATAI BOSSkahama=tabora mjini
Acha porojo zako wewe,kama hizo road unazozitaja hazipo hapo Basi jua ni njia za punda na mikokoteni mengine ni yako kujifariji.Jambo usilo lijua Ni jiografia ya mkoa wa njombe ikoje na wapi Kuna wakazi wengi na kunazidi kujaa ndo maana nilikwambia usipende kusimuliwa tembelea eneo husika huu mkoa wa njombe una Kanda mbili ya kasikazini na kusini ambapo kasikazini mji mkuu Ni makambako na huu ukanda unaanzia wangama ,igwachanya kidugugala ilembula ,wangingombe mtwango kitandililo nk na ndio ukanda wenye wakaz wengi na unakua kwa Kasi ili kudhibitisha Hilo hata crdb kwenye hafla ya kufungua mwaka wakiwa na mkuu wa mkoa waliongea pia wamefungua matawi 6 ya benki yao kwenye hii zone ambapo yapo igwachanya ,ilembula ,mtwango,wangingombe, kidugala ambapo baba lao Ni makambako hata ongezeko la daladala Ni kubwa zinazo kuja makambako kutoka sehemu hiz Ni tofauti na zone ya njombe ambayo barabara yenye kas ya ongezeko la watu Ni ya makete t zingine Ni mashambani na miti milima imetawala unatembea km nyingi Ni misitu tu ko biashara Ni watu na position ya mji ulipo
ni kweli mkuuNi mtizamo wako HATUKATAI BOSS
Vitu vikali kama hivi watu wa Kijiji cha Makambako mtaishia kuviona vinapita tuuView attachment 1706741
Subiri ziara ya mh utapata majibuVitu vikali kama hivi watu wa Kijiji cha Makambako mtaishia kuviona vinapita tuuView attachment 1706741
Ss hatuna shida ya usafiri hko mashamban ndo mnashidaVitu vikali kama hivi watu wa Kijiji cha Makambako mtaishia kuviona vinapita tuuView attachment 1706741
Time will tellAcha porojo zako wewe,kama hizo road unazozitaja hazipo hapo Basi jua ni njia za punda na mikokoteni mengine ni yako kujifariji.
Wewe subiri hizo road zikamilike ndio uje tena na wishful thinking zako
Mk tcView attachment 1699742
Njombe town Council
compare and contrast.
Saizi yenu ni Tunduma