Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Yaani nje ya hako ka round about ni utopolo tupu,afu usilinganishe Mji wa zamani na Kijiji cha juzi juzi
Aeria view sio lazima video mbaba kama cm yako kubwa twambie tukuelekeze Cha kufa ushangae kidogo mji wa madonSasa hapa kuna nini,weka hata aerial view basi ya Makambako,,za Njombe ziko nyingi sana
Sasa utaweka wap matiganjoroMji mkongwe, mbona huweki na nje ya Mji?
TrueHii ni TANZAM, sina haja nayo kwani ni barabara iliyojengwa kuanzia Mafinga na kwenye kila mji pameboreshwa, ukienda IGAWA pako vizuri
HayA hyo nje ya mji wa njombeSasa utaweka wap matiganjoro
Mji wowote bila mandhari mazuri ni utopolo,Tzn hii ukisema wapi kuna Hali ya hewa nzuri utaambiwa Njombe,Mbeya,Lushoto na Arusha hili hata wewe unalijuaNapafaham mkuu, ujenzi wa nyumba za makazi uko vizuri, sijawahi kupinga hilo. Lakini makazi mazuri siku hizi kila sehem iko vizuri. Hata Katoro, Ilula, Ipogolo, Ifunda kote huko nyumba za kuishi ni nzuri, hakuna anajenga nyumba mbovu kwa sasa. Ukipita pale Manyoni tu kuna nyumba za maana zinajengwa, kwa sasa hiyo siyo issue, miji hata midogo watu wanatoa vitu vya maana
Hizo km hazipo hata kwenye majiji wewe umezitoa wapi mkuuKAHAMA tayari wana 30+km (36kama sikosei) kwenye TACTIC .. kuanzia mwaka kesho kutwa inakuja bajeti ya Kuboresha Manispaa nayo ina KM zake za kutosha ...
Kalime sisi hatuwezi Lima lami ila Bei tutakupangiaHuo ubavu hamna nyie wachuuzi,kilimo ndio utajiri
Kadogo Sana kwa Njombe,, Makambako kata 12,Njombe 13,, Makambako watu 93,000 ,,Njombe 130,000 nadhani bwanamdogo Makambako tulia mkubwa akikohoaKadogo kwa Nan labda kahama ila si njombe
Nimekwambia hivi Hadi kwenye majiji hakuna km hizo wewe umezitoa wapi?Tuna km 36 TACTIC tena mkae kwa kutulia😀😀😀
Ndio ukae kwa kutulia, tutarudi hapa kufanya majumuhishoNimekwambia hivi Hadi kwenye majiji hakuna km hizo wewe umezitoa wapi?
Nani kalinganisha? Soma tena nilichoandikaYan we jamaaa vigorofa sita ndo ulinganishe na iringa unaota ww
Umeelezwa Hadi na mdau hapo juu huelewi sasa ligi za kijinga siweziHamna ujanja mbele ya wafanyabiashara juzi tu kiwanda Cha makambako kimewaletea trei za kukusanyia parachichi waje wachukue
Daraja la ngapiKilo ya ovacado Ni 1500
Wana ekari za parachichi wapi? Jibu ni Njombe ,,mtu yeyote anachangamkia fursaUsilo lijua nisawa na usiku wa giza watu wapo makambako wanna ekari za miti za kutosha na parachichi za kuzidi we kaa ujue et parachichi Ni za watu wa njombe
H
Huwezi linganisha na milimani inakootea mijusi jua na kuteleza kuku



kubali tuu imeishiwa hoja ukajipange upyaAfu unaju ww umekalili makambako watu wengi wa maekari ya parachichi nenda mlowa mahongole kitandililo na utengule ndo utaamini nacho kiongeaWana ekari za parachichi wapi? Jibu ni Njombe ,,mtu yeyote anachangamkia fursa
La Kwanza Hilo na nimeenda kununua kwa nemes green garden pale maheveDaraja la ngapi
Sasa mimi nawezaje kubishana na waziri.. kiongozi. Hayo ni maneno ya Jaffo. HahahaHizo km hazipo hata kwenye majiji wewe umezitoa wapi mkuu
Hahahaha Mdatchu utakuwa huingii NJOMBE. EndeleaLa Kwanza Hilo na nimeenda kununua kwa nemes green garden