Mingine mitaa hyo unavoenda ramadhaniHiyo njombe mitaa mingine alisahau kuposti ameposti gorofa tuView attachment 1699343
Mingine mitaa hyo unavoenda ramadhaniHiyo njombe mitaa mingine alisahau kuposti ameposti gorofa tuView attachment 1699343
Kahama nimefika, napafaham mkuu. Siwez kupinga kuwa pamejitahidi, hilo najua hakuna mtu anaweza kupinga, ila pia huwez kuibeza NjombeHujafika Kahama wewe. Usilinganishe kimji kinyonge sijui mnakiita Kinjombe na Manspaa ya Kahama.
Ili kutokua na biasness, weka mitaa ya Makambako(isiwe TANZAM HIGHWAY, ambayo imejengwa na Benki ya dunia na imeenda hadi IGAWA na huko kote inavutia)! Weka mitaa ya Makambako siyo barabaraba pia ya kwenda Songea/ NjombeHiyo njombe mitaa mingine alisahau kuposti ameposti gorofa tuView attachment 1699343
Hyo hapo ya makambako nje ya mjiIli kutokua na biasness, weka mitaa ya Makambako(isiwe TANZAM HIGHWAY, ambayo imejengwa na Benki ya dunia na imeenda hadi IGAWA na huko kote inavutia)! Weka mitaa ya Makambako siyo barabaraba pia ya kwenda Songea/ Njombe
Kitoch changu kimegoma kufungua picha kaka. Lakini naamini ukiondoa TANZAM HIGHWAY na Songea Highway, hakuna mitaa ya maana.Hyo hapo ya makambako nje ya mji
Makambako mpo njema sanaYa katikati ya mjiView attachment 1699378View attachment 1699379
Ya katikati ya mjiView attachment 1699378View attachment 1699379
Hii ni TANZAM, sina haja nayo kwani ni barabara iliyojengwa kuanzia Mafinga na kwenye kila mji pameboreshwa, ukienda IGAWA pako vizuriYa katikati ya mjiView attachment 1699378View attachment 1699379
Napafaham mkuu, ujenzi wa nyumba za makazi uko vizuri, sijawahi kupinga hilo. Lakini makazi mazuri siku hizi kila sehem iko vizuri. Hata Katoro, Ilula, Ipogolo, Ifunda kote huko nyumba za kuishi ni nzuri, hakuna anajenga nyumba mbovu kwa sasa. Ukipita pale Manyoni tu kuna nyumba za maana zinajengwa, kwa sasa hiyo siyo issue, miji hata midogo watu wanatoa vitu vya maanaKahama Urban, CHAZA Opportunity Cost mje tuangalie mapaa marefu hukuu 😀 😀 😀
View attachment 1699360
View attachment 1699362
View attachment 1699363
View attachment 1699366View attachment 1699373
Baba hizo barabara unazoongea saiz zote zimepigwa lami na zingine zimewekwa taa hiyo Ni mitaa ya Hali ya chini hatuja kuletea mitaa ya wenye pesa zao Kama magorofan osterbay , Surprise beach ,range ,kigambon ,masaki nkKitoch changu kimegoma kugungua picha kaka. Lakini naamini ukiondoa TANZAM HIGHWAY na Songea Highway, hakuna mitaa ya maana.
Pale kwenye hotel mpya nafikiri ya Jah People kuna kibarabara cha lami chembamba(karibu na Marie Stopes ya zamani), pia kuba dedicated lane ya bajaj na pia kule soko la matunda kuna kibarabara chembamba cha lami kinatokea karibu na mizani. Mitaa ile karibu na Midtown, kuna kibarabara chembamba kinashuka chini. Sasa hizi zote ni barabara na mitaa midogo ambayo Njombe ipo kuizidi hii.
Nje ya mada mdau(kuna nyumba moja ilikua nzuri miaka ile ya 2005 ilikua inakodiwa sana na makampuni, sisi tuliwahi kukodi, je bado ipo? Ilikua nzuri lakini cha ajabu nyuki hawaishi. Huko kwenu kuna mambo.
Njoo na mitaan uone maboresho barabara nyingi makambako saiz wamepiga lamiHii ni TANZAM, sina haja nayo kwani ni barabara iliyojengwa kuanzia Mafinga na kwenye kila mji pameboreshwa, ukienda IGAWA pako vizuri
Wambie njombe walete za mtaan nje na barabara ya songea uone kutu za bati zilivotawalaNapafaham mkuu, ujenzi wa nyumba za makazi uko vizuri, sijawahi kupinga hilo. Lakini makazi mazuri siku hizi kila sehem iko vizuri. Hata Katoro, Ilula, Ipogolo, Ifunda kote huko nyumba za kuishi ni nzuri, hakuna anajenga nyumba mbovu kwa sasa. Ukipita pale Manyoni tu kuna nyumba za maana zinajengwa, kwa sasa hiyo siyo issue, miji hata midogo watu wanatoa vitu vya maana
Road za mitaani makambako zingine hizo ambazo wamejenga mwaka Jana km Kama tatu.km 3 zingine zinaendeleaKitoch changu kimegoma kufungua picha kaka. Lakini naamini ukiondoa TANZAM HIGHWAY na Songea Highway, hakuna mitaa ya maana.
Pale kwenye hotel mpya nafikiri ya Jah People kuna kibarabara cha lami chembamba(karibu na Marie Stopes ya zamani), pia kuba dedicated lane ya bajaj na pia kule soko la matunda kuna kibarabara chembamba cha lami kinatokea karibu na mizani. Mitaa ile karibu na Midtown, kuna kibarabara chembamba kinashuka chini. Sasa hizi zote ni barabara na mitaa midogo ambayo Njombe ipo kuizidi hii.
Nje ya mada mdau(kuna nyumba moja ilikua nzuri miaka ile ya 2005 ilikua inakodiwa sana na makampuni, sisi tuliwahi kukodi, je bado ipo? Ilikua nzuri lakini cha ajabu nyuki hawaishi. Huko kwenu kuna mambo.
Kwani mimi sipafam baba? Nimepita hapo Miez 2 na nusu iliyopita na kulala hapo siku 4. Sasa mbona umekua na biasness ulipowacahguali Njombe mashambani huko ukidai eti ndiyo Njombe, unapofanya ulinganifu, punguza biasness(kuchukua sample bila mizania)Baba hizo barabara unazoongea saiz zote zimepigwa lami na zingine zimewekwa taa hiyo Ni mitaa ya Hali ya chini hatuja kuletea mitaa ya wenye pesa zao Kama magorofan osterbay , Surprise beach ,range ,kigambon ,masaki nk
Nazijua, barabara nyembamba za mtaani. Anyway, kwa hadhi ya mji huo kwa sasa zinawatoshaNjoo na mitaan uone maboresho barabara nyingi makambako saiz wamepiga lami
Road yanapita magari baada ya muda gani, au Bajaj, maana kwa Bajaj, zipo za kutosha kama SingidaRoad za mitaani makambako zingine hizo ambazo wamejenga mwaka Jana km Kama tatu.km 3 zingine zinaendeleaView attachment 1699388View attachment 1699389