Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,921
Hiyo Iringa ilikuwa inafaidika na bidhaa za Njombe,hayo hayo mangapi yamepiga Kahama plus Makambako.Kwa gorofa ngap zilizopo njombe je mngejenga Kama iringa tusingekunywa maji kumbuka makambako miaka ya nyuma ilizuiwa kujenga wengi walienda kujenga dar saiz wamerudi makambako kuamsha gorofa wameruhusu kuanzia 2016 ndo watu wameanza ndo maana Hadi saizi site za barabaran wanataka ujenge gorofa na watu wanajenga na zimeanza kupangana barabara ya songea road ko ilikuwa Ni muda tu kuwa mpole maana nyumba za chini hizo ndo hatuongei saizi tunaungana na ndugu zetu wa mtwango
Hiyo Iringa yako nayo imesongamana kama vifaranga na dry Sana huo mji


