Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Road yanapita magari baada ya muda gani, au Bajaj, maana kwa Bajaj, zipo za kutosha kama Singida
Makambako wametenganisha Kuna road mbili za lami ya bajaji na magari we jamaa kumbe makambako ulikuja muda mrefu sana
 
Tusubirie miradi ya Jaffo na TAMISEMI (TACTIC) kwenye miji 45 iliyochaguliwa. National census ya 2022 Urbanisation ipo kasi sana tutaona. Tutaona majiji mapya, Manispaa, Halmashauri za miji na wilaya mpya. Cha muhimu ni maenedeleo na kila eneo lina potentiality yake.
Hapa nafikiri umefunga vizuri, kama mtoa uzi angeridhika nafikiri tulipaswa uzi ufungwe. Hata hivyo kwa mimi nafunga kuchangia uzi huu. Angalau tumepata ABC ya miji yetu, ni jambo jema. Na ndugu yangu wa Makambako, pull up your socks, ila bado.
 
Kwani mimi sipafam baba? Nimepita hapo Miez 2 na nusu iliyopita na kulala hapo siku 4. Sasa mbona umekua na biasness ulipowacahguali Njombe mashambani huko ukidai eti ndiyo Njombe, unapofanya ulinganifu, punguza biasness(kuchukua sample bila mizania)
Mizani gani sasa kwani njombe haijapigwa gap hebu taja km za za lami zinazo zunguka njombe acha porojo we si mpitaji tu
 
Makambako wametenganisha Kuna road mbili za lami ya bajaji na magari we jamaa kumbe makambako ulikuja muda mrefu sana
Aah, yaani hata miez 3 sina. Hiyo dedicated lane ya Bajaj iko upande wa kushoto kama unaenda Njombe na ni mradi ninaoufaham kwani jamaa yangu aliyehusika kufanya usanifu ilionekana Bajaj Makambako ni nyingi na zinasababisha ajali hasa kutoka Stendi kuelekea upande wa Mtwango/Njombe! Sasa unaposema sijui wakati huo mradi naufaham tangu jikoni nakushangaa sana
 
Hapa nafikiri umefunga vizuri, kama mtoa uzi angeridhika nafikiri tulipaswa uzi ufungwe. Hata hivyo kwa mimi nafunga kuchangia uzi huu. Angalau tumepata ABC ya miji yetu, ni jambo jema. Na ndugu yangu wa Makambako, pull up your socks, ila bado.
Bdo nn
 
Tusubirie miradi ya Jaffo na TAMISEMI (TACTIC) kwenye miji 45 iliyochaguliwa. National census ya 2022 Urbanisation ipo kasi sana tutaona. Tutaona majiji mapya, Manispaa, Halmashauri za miji na wilaya mpya. Cha muhimu ni maenedeleo na kila eneo lina potentiality yake.
KAHAMA tayari wana 30+km (36kama sikosei) kwenye TACTIC .. kuanzia mwaka kesho kutwa inakuja bajeti ya Kuboresha Manispaa nayo ina KM zake za kutosha ...
 
Unashaangaa nn Kama huja piga simu kwa jamaa zako wakwambie we endelea kulima tu
Aah, yaani hata miez 3 sina. Hiyo dedicated lane ya Bajaj iko upande wa kushoto kama unaenda Njombe na ni mradi ninaoufaham kwani jamaa yangu aliyehusika kufanya usanifu ilionekana Bajaj Makambako ni nyingi na zinasababisha ajali hasa kutoka Stendi kuelekea upande wa Mtwango/Njombe! Sasa unaposema sijui wakati huo mradi naufaham tangu jikoni nakushangaa sana
 
KAHAMA tayari wana 30+km (36kama sikosei) kwenye TACTIC .. kuanzia mwaka kesho kutwa inakuja bajeti ya Kuboresha Manispaa nayo ina KM zake za kutosha ...
Malunga, Majengo, Nyasubi, Igomelo, Nyahanga, Masaki, Shunu, Dodoma, Namanga Sokoni, Mama Farida, Nyakato, 🔥🔥🔥🔥
 
Hiyo mitaa yko ya njombe
FB_IMG_16129761559217725.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_16129761403367161.jpg
    FB_IMG_16129761403367161.jpg
    28.1 KB · Views: 6
Wa Dar ni watu wa Makete acha kujitoa ufaham. By the way, kilimo ndiyo mpango mzima na zao la Koroshi chukua mazao yote ya nchi hii combined, bado korosho inatisha. Hata watu wa Njombe wako wengi tu kule Mangaka wanalima Korosho, kwa sababu Korosho inalipa, huna uwezo hata chembe kufananisha korosho na mazao ya huko, na kama nchi haiwez kubeza kilimo, ndiyo uchumi wetu mkubwa kuliko huo uchuuzi. Mfano mdogo, kitongoji kidogo cha Ilula na Mtua pale Iringa kilikua kidogo sana.
Lakini kwa kilimo kidogo tu cha Nyanya, leo Ilula na Mtua ni mji mkubwa ukiwa umeungana.
Ukienda Tandahimba leo, ukapita Kitangari, Nannyanga, Kitama 1, Mahuta ilikua ni vimiji vidogo, lakini kwa kilimo tu cha zao la Korosho, jamaa wametoboa.
Ni upuuzi kudharau kilimo kisa unauza mitumba na spea za pikipiki.
Hao wachuuzi wanadhani kufungua vibanda vyao vya viduka kila siku ndio pesa, wataendelea kupauka Hadi akili ziwakae sawa

Nimefurahi kuona TAHA wameanza project za kilimo cha maua kama huko Kenya nk,,pesa nyingine ya uhakika inaanza kumimikika Njombe on top of parachichi na Mazao ya misitu
 
Sio Hilo t hata matilio ya ujenzi wanategemea Makambako speak za magari gari za abiria mizigo mabosi wapo makambako hata gari bajaji wanaleta makambako ndo maana tunawambia makambako inawabeba sasa kule nyumba kujenga Ni shida Hadi uchimbe milima Hadi lini wakat makambako Ni flat lazima wapigwe bao t
Huo ubavu hamna nyie wachuuzi,kilimo ndio utajiri
 
Njombe Kile Ni Kijiji mjigani hauna mishe2 kunautofauti gan na kijiji
Kama hakuna Mishe magorofa yanajengwa kwa ajili ya mbuzi au? Kama hakuna Mishe bln 4 zinatoka wapi?

Sema hivi wewe huna mishe na kuchuuza mitumba ndio mishe?
 
Back
Top Bottom