Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Unachekesha vitu vya Manispaa huwezi vikuta kwenye vijiji vyenu hivyo chakavu
View attachment 3463463View attachment 3463474
Unatoa wapi ujasiri wa kutaka kulinganisha vijiji vyako hivyo na Manispaa?
CBD kuna vyuma vinane vinaanza kunyanyuliwa na TBA andaeni pa kujifichia 😅
Fika mtaa wa lunyanwi njombe uone mtaa wa ofis za serikali Hilo Chaka limefyekwa acha kufichamia huko leta project za geita CBD sio ofisi za serikali
 
Fika mtaa wa lunyanwi njombe uone mtaa wa ofis za serikali Hilo Chaka limefyekwa acha kufichamia huko leta project za geita CBD sio ofisi za serikali
Nifike kufanya nini leta picha za huo mtaa hapa tufurahi
 
Nifike kufanya nini leta picha za huo mtaa hapa tufurahi
Tulete mara ngap mzee acha Ushamba tumeleta mara kibao hizo project kwa Sasa hazina jipya zipo kila mkoa elewa Hilo shida NI Ushamba hutembei ndo maana unabaki unashangaa ofisi ambazo kila mkoa mpya wamejenga leta project za geita CBD
 
Hutaki hizi 😘😂😂👇👇
images (9).jpeg

Kama mnazo hapo Njombe+ Makambako weka hapa tuone
 
Huu sio mji ni kijiji kinaingia mara 15 kwa Katoro
Endelea kujitariji na Kijiji chako tulikwambia huko mmewazidi kuzaliana ila SI maendeleo ya ujenzi mtasubiri Sana Kama ndo mnashaanga Sasa bati za rangi mna kazi ya kuondoa ushamba
 
Endelea kujitariji na Kijiji chako tulikwambia huko mmewazidi kuzaliana ila SI maendeleo ya ujenzi mtasubiri Sana Kama ndo mnashaanga Sasa bati za rangi mna kazi ya kuondoa ushamba
🔨🪛🪛🪛 Sindano zinaingia 🤣🤣🤣
 
Zipo kila mkoa fika mkoa was songwe ,simiyu ,njombe ,katavi utaikuta mitaa ya ofisi tupu shida NI Ushamba wako
Simiyu imefikaje huko nyanda za juu kusini tena 😂😂😂

Huna lolote , weka picha hapa
 
Hizo office ziko wapi sasa 😂😂🤣🤣🤣🔨
Hizo NI baadhi hapo  NI rpc na mkuu wa mkoa na karibia idara zote NI gorofa punguza Ushamba sasa na unavoona kwenye picha ya ofisi ya mkuu wa mkoa nyuma Kuna bati zimezungushwa kwa Sasa Kuna gorofa zimesha panda hii picha ili chukuliwa muda kidogo saizi road zote Zina lami na vituo vya mafuta Hilo Chaka toka Sasa leta project za geita CBD
2-48-1024x646.jpg
FB_IMG_17437653907607551~2.jpg
 
Simiyu region ndo maana tulisha kwambia punguza Ushamba mikoa mipya yote Ina mitaa special ya ofisi haya simiyu hiyo👇👇
PMO-2020-1024x768.jpg
 
Back
Top Bottom