Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Nyuma ya hivi vijumba nazani kuna kutu za kufa mtu 🤣😂Huku hawashindani KUNYANYUA mapaa NI mwendo wa hivi makambakoView attachment 3464758View attachment 3464759View attachment 3464760View attachment 3464762
Halafu vijumba vya hivi vipo kila sehemu vimejaa pale MASUMBWE wachimbaji wanafanya yao kesho napita huko nikipata muda nitaleta picha humu