Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Shinyanga
We jamaa unawenge hujaziona ofisi za mkoa wa njombe tumesha kuwekea hapo leta project za CBD GEITA wenzenu NI mwendo wa kuvunja nyumba za zamani na kupandisha vitu makambako CBDNjombe ziko wapi 🔨
Huku wanajenga watu binafsi kudhihirisha pesa IPO mfano Hilo limejengwa na kampuni binafsi makambako CBD tuonyesheni hapo geita majengo ya biashara Kama haya CBD😂😂😂😂😂SIO KUKIMBILIA KWENYE OFISI ZA MKOA TUNATAKA VITU KAMA HIVI CBD SIO MAPAA👇👇👇Na Njombe vipi 🤣🤭🤭
Yani makambako upafananishe na Geita? Hii sio sawa hata kama akili hata moja huna we mtu MFUPI mweusi tiiWe jamaa unawenge hujaziona ofisi za mkoa wa njombe tumesha kuwekea hapo leta project za CBD GEITA wenzenu NI mwendo wa kuvunja nyumba za zamani na kupandisha vitu makambako CBDView attachment 3463847View attachment 3464083
Tarabu peleka fb huku leta hoja Kama huna Kanye kalaleYani makambako upafananishe na Geita? Hii sio sawa hata kama akili hata moja huna we mtu MFUPI mweusi tii
Sasa pana maajabu gan ambayo yanafanya pasilinganishwe ili hali tayari Kuna vitu panapitwa tulikwambia huko mmewazidi kuzaliana tu si miundombinu 😂😂😂😂😂😂Yani makambako upafananishe na Geita? Hii sio sawa hata kama akili hata moja huna we mtu MFUPI mweusi tii![]()
Kijana nimeishi kote Geita na Makambako.Sasa pana maajabu gan ambayo yanafanya pasilinganishwe ili hali tayari Kuna vitu panapitwa tulikwambia huko mmewazidi kuzaliana tu si miundombinu 😂😂😂😂😂😂View attachment 3464413View attachment 3464410
Acha. Mbwembwe kuifaham Villa Park SI kuishi makambako Nan ambaye haifahamu geita leta project hapa hatutaki maneno ya kwenye kanga hapaKijana nimeishi kote Geita na Makambako.
Wewe geita hupajui hujawahi kufika mimi makambako nimekuwa mtu mkubwa sana villa park kwa kipindi kirefu
Kwa kifupi huwezi kulinganisha hata kahama na geita
Geita CBD vitu hivyo 👇 yanatenganishwa na barabara tu yanatazamana,We jamaa unawenge hujaziona ofisi za mkoa wa njombe tumesha kuwekea hapo leta project za CBD GEITA wenzenu NI mwendo wa kuvunja nyumba za zamani na kupandisha vitu makambako CBDView attachment 3463847View attachment 3464083