Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Rudi page za nyuma hapo, Makambako bado ni Kijiji kikubwa tu chenye kutu na vumbi
Huo mtaa wako wa ofisi za mkoa NI sawa na ramani hizi za shule kila mkoa wamejenga ramani moja ko ndo maana Hilo hatutaki kugusia Sana tunataka CBD Ina jipya gani 👇👇👇
FB_IMG_17528373407658131.jpg
 
Makambako haina soko la kisasa Katoro tayari ina soko la kisasa 😃🤭🤣🤣🤣
Maana yake kipi ni Kijiji hapo?
Una hangaika na Kijiji chako Cha katoro wambie wakajifunze kupangilia nyumba swax hapo nyumba NI za kawaida ila tayar Zina thamani kubwa 👇👇👇
FB_IMG_17568672200207504.jpg
 
Huo mtaa wako wa ofisi za mkoa NI sawa na ramani hizi za shule kila mkoa wamejenga ramani moja ko ndo maana Hilo hatutaki kugusia Sana tunataka CBD Ina jipya gani 👇👇👇View attachment 3463352
Unachekesha vitu vya Manispaa huwezi vikuta kwenye vijiji vyenu hivyo chakavu
images (9).jpeg
Screenshot_20250903-092356.jpg

Unatoa wapi ujasiri wa kutaka kulinganisha vijiji vyako hivyo na Manispaa?
CBD kuna vyuma vinane vinaanza kunyanyuliwa na TBA andaeni pa kujifichia 😅
 
Kwa nyuma naona nyumba zenu bora 🤣🤣🤣🤭 kutu republic of Njombe
Hapo yanaongelewa madini mkoa wa utajiri wa madini sasa wapo kwenye dhahabu sijui utafichamia Chaka gani migodi miwili
 
Huku nyumba zinajengwa kwa mpangilio watu wanajielewa hii NI songea road
FB_IMG_17508500590996898.jpg
 
Back
Top Bottom