Ushamba utawatoka tu ningali nipo, kuna siku mmepiga kelele humu mji wa viwanda ๐ค๐๐ yaani kelele kibao bila kujua huo ni ushamba ulikuwa unawasumbua ๐ข
Mimi najua kila halmashauri ina hizo plan za viwanda, Kahama tangu 2017 walishaanza kitambo tu na hakuna kelele kwa sababu viwanda sio kitu kigeni vilikuwepo Shinyanga kitambo sana
Sasa Kahama pia walitenga eneo kubwa tu, in short hamna kitu chochote cha kutambia mbele ya Kahama
View attachment 3386070
Kahama ina viwanda vinavyo milikiwa na KOM COMPANIES vya kuzalisha bidhaa za plastic, chuma,mabati na mabomba ya maji
Kuna kiwanda cha vipuli pia, viwanda vya pamba, plant za dhahabu etc
View attachment 3386077