Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kwani Kahama na Katolo ipi kubwa? Teh teh teh teh teh. Japo Njombe ina wanawake watam kinoma
Kahama ni ya nane kwa ukubwa kitaifa (kwenye top ten ya Miji mikubwa Tanzania Kahama ipo namba 8). Nazani utakuwa umepata jibu
 
Njombe haipafikii Kahama Kwa lipi? Watu wengi au?

Njombe ni Makao Makuu ya Mkoa lazima iwe vizuri kuliko huko vichochoroni.
1. Kuanzia ukubwa wa mji. Kahama ina majengo 87 920, Njombe ina majengo 51 555, sensa 2022
Kwa kifupi ili upate ukubwa wa mji wa Kahama inabidi uchukue Njombe+Makambako= 51 555+ 37 865=89 420
2. Kahama ni Manispaa wakati Njombe bado ni Mji. Hii pekee inatosha kukujuza ni nani mkubwa hapo
Na vingine vingi tu isipokuwa UKIMWI maana hapo automatically Njombe inaongoza 🤗😂😂😂
 
Tunavo kwambia uwe unatembelea maeneo husika uwe una elewa makambako na njombe umetenganisha msitu wa tanwat ambapo makazi ya halmashauri nne yamekutana ko uwe unaelewa na hizo halmashauri nne zilizokutana ambazo kabla njombe kuwa mkoa zilikuwa wilaya moja zina zaidi ya wakazi laki sita ndo maana ukiwa eneo hili huto jua halmashauri ipi inaanzia wapi na inaishia wapi wilaya zilizo jitenga NI makete na ludewa ndo maana tulikwambia kuhusiana na maswala ya ujenz Kuna miji ilishakutana mzee haya jumlisha makazi ya hizo halmashauri nne ndo utajua Hilo eneo linajengeka kiasi gani
FB_IMG_17508500590996898.jpg
FB_IMG_17452264038881503.jpg
 
Tunavo kwambia uwe unatembelea maeneo husika uwe una elewa makambako na njombe umetenganisha msitu wa tanwat ambapo makazi ya halmashauri nne yamekutana ko uwe unaelewa na hizo halmashauri nne zilizokutana ambazo kabla njombe kuwa mkoa zilikuwa wilaya moja zina zaidi ya wakazi laki sita ndo maana ukiwa eneo hili huto jua halmashauri ipi inaanzia wapi na inaishia wapi wilaya zilizo jitenga NI makete na ludewa ndo maana tulikwambia kuhusiana na maswala ya ujenz Kuna miji ilishakutana mzee haya jumlisha makazi ya hizo halmashauri nne ndo utajua Hilo eneo linajengeka kiasi gani View attachment 3384766View attachment 3384762
Unataka niamini data zako uchwara niachane na hizi za sensa 👇
Screenshot_20250626-183523.png
Screenshot_20250626-183610.png

Na ambacho hujaelewa ni kipi kwani 😂😂😂. Ili ujue ukubwa wa Manispaa ya Kahama unaganisha Njombe, Makambako na hivyo vitongoji vya njiani
 
Tunavo kwambia uwe unatembelea maeneo husika uwe una elewa makambako na njombe umetenganisha msitu wa tanwat ambapo makazi ya halmashauri nne yamekutana ko uwe unaelewa na hizo halmashauri nne zilizokutana ambazo kabla njombe kuwa mkoa zilikuwa wilaya moja zina zaidi ya wakazi laki sita ndo maana ukiwa eneo hili huto jua halmashauri ipi inaanzia wapi na inaishia wapi wilaya zilizo jitenga NI makete na ludewa ndo maana tulikwambia kuhusiana na maswala ya ujenz Kuna miji ilishakutana mzee haya jumlisha makazi ya hizo halmashauri nne ndo utajua Hilo eneo linajengeka kiasi gani View attachment 3384766View attachment 3384762
Data zinakukataa mzee 🤗 😂😂😂 hata bila kutembea data zinaonyesha
Kwenye Miji mikubwa Tanzania Kahama 💥💥 na Geita 💥💥 zipo top 10
Halafu zote ni Manispaa,
Screenshot_20250626-062556.png

Maana yake Njombe kwa Kahama Bado, na unadai kutoka Njombe hadi Makambako Miji imeungana sawa sikatai, lakini sasa ili ujue ukubwa wa Manispaa ya Kahama unganisha kote huko Kutoka Njombe Hadi Makambako
 
Tukusaidie kwa data zaidi sio lazima ufike Kahama. Manispaa ya Kahama ina cover 817.64km² . Huo ndio ukubwa wa mji wa Kahama
Kwa maana nyingine Kahama Manispaa ukiizidisha mara mbili unapata ukubwa wa Jiji la Dar es salaam ambayo ina 16 000+km²
Screenshot_20250626-192157.png

Au unazani kuingia top ten ya Miji mikubwa Tanzania ni kirahisi rahisi tu 😂🤗🤔
Saa jumlisha ukubwa wa mji wa Njombe na Makambako pamoja na vijiji vilivyoungana humo njiani ulete data hapa tujue ukubwa wa eneo uache kulazimisha watu kuamini unachokiwaza wewe tu bila data za kueleweka
 
View attachment 3384807

Leta current data sio za miaka hiyo angalia upivo tu danganya kwenye area MunicipalityMunicipality......242,208453,654
Kahama Municipality

453,654 Population [2022] – Census
1,363 km² Area
332.8/km² Population Density [2022]
6.5% Annual Population Change [2012 → 2022]

wd_icon.svg
Kahama Municipal District: district in Shinyanga Region, Tanzania
Map
 
Hizo data zako ni za zamani angalia current data hata area hapo haipo hivo kahama ilisha ongeza eneo tukusaidie
 
Leta current data sio za miaka hiyo angalia upivo tu danganya kwenye area MunicipalityMunicipality......242,208453,654
Kahama Municipality

453,654 Population [2022] – Census
1,363 km² Area
332.8/km² Population Density [2022]
6.5% Annual Population Change [2012 → 2022]

wd_icon.svg
Kahama Municipal District: district in Shinyanga Region, Tanzania
Map

Nimekupa data za Kahama Manispaa yenyewe
Screenshot_20250626-192157.png

Hata kama ni za zamani kutoka 2012 hadi 2022 mji umeongezeka,swala bado liko pale pale Manispaa ya Kahama ni mtambo mwingine kwa ukubwa wa mji😄😄😄😂😂🤗
 
Data zinakukataa mzee 🤗 😂😂😂 hata bila kutembea data zinaonyesha
Kwenye Miji mikubwa Tanzania Kahama 💥💥 na Geita 💥💥 zipo top 10
Halafu zote ni Manispaa,
View attachment 3384777
Maana yake Njombe kwa Kahama Bado, na unadai kutoka Njombe hadi Makambako Miji imeungana sawa sikatai, lakini sasa ili ujue ukubwa wa Manispaa ya Kahama unganisha kote huko Kutoka Njombe Hadi Makambako
We jamaa una chekesha tukichukua coverage area ya hizi zote halmashauri NI squre km 9000 wakati kahama NI 1300 njombe tc peke yake Ina zaidi ya 3000 km squre
 
Unaunganisha halmashauri zote tena 🤗😂😂, hapa tunataka eneo la mjini,
Makambako town ina eneo gani, Njombe town inaeneo gani? Sasa unaunganisha na maeneo ya halmashauri nzima kama Wanging'ombe na Njombe DC, uko sawa kweli!🤔
 
Haya jinu swali langu hili
Je, Njombe mji inaingia mara ngapi kwa Kahama
Mbona umeanza kukimbia subiri tuna kuletea data za ukubwa wa eneo naona tayari ukubwa wa eneo njombe tc peke yake imesha wakalisha subiri makambako hii hapa👇👇👇
Makambako Town

146,481 Population [2022] – Census

883.4 km² Area

165.8/km² Population Density [2022]

4.6% Annual Population Change [2012 → 2022]
 
Back
Top Bottom