Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Swax ndo wapi mkuu 🤔🤗🤗🤔
Sumbawanga
IMG_20250627_160303_027.jpg
IMG_20250627_160303_999.jpg
 
Mbeya sio tuu Ina magorofa mengi kuliko Irina Bali Iko kwenye miji 6 yenye majengo au magorofa marefu mengi hapa Tanzania Kwa matokeo ya Sensa.

Iringa unayoisema haipo hata kwenye hiyo List 😁😁
Kuhusu view ya mji nani wapi ni kituko 😂🤗
 
Cha kuzingatia ni kwamba Njombe ndio Ina magorofa mengi kushinda Kahama.

Hapo Bado magorofa ya serikali hayajawekwa
Muda utaongea halafu ilikuwa difference ya ghorofa 8 😂😂😂
Time wili tell 😄, sio muda hicho kichaka kinafyekwa na usikute Kahama tayari ishakifyekelea mbali
Screenshot_20250627-134723~2.png
Screenshot_20250627-133452~2.png
Screenshot_20250627-132552~2.png
Screenshot_20250627-132802~2.png
 
Muda utaongea halafu ilikuwa difference ya ghorofa 8 😂😂😂
Time wili tell 😄, sio muda hicho kichaka kinafyekwa na usikute Kahama tayari ishakifyekelea mbali
View attachment 3385738View attachment 3385739View attachment 3385740View attachment 3385741
Kwenye hizo gorofa 8 ,bila hata kuongezea za watu binafsi Serikali imeongeza zifuatazo
1.UDOM Campus majengo 4
2.Kituo Jumushi Cha Sheria
3.Shule za msingi za ghorofa 2
4.TanRoads Regional Office

Tayari hapo Gap ya 8 imekuwa extended zaidi 😂😂
 
Mbeya sio tuu Ina magorofa mengi kuliko Irina Bali Iko kwenye miji 6 yenye majengo au magorofa marefu mengi hapa Tanzania Kwa matokeo ya Sensa.

Iringa unayoisema haipo hata kwenye hiyo List 😁😁
Watu wa nyanda za juu kusini especially Njombe na Mbeya ebu jaribuni kujifunza jinsi ya kuplan miji yenu muache kuendelea kuijenga kama vijiji vikubwa
 
Kwenye hizo gorofa 8 ,bila hata kuongezea za watu binafsi Serikali imeongeza zifuatazo
1.UDOM Campus majengo 4
2.Kituo Jumushi Cha Sheria
3.Shule za msingi za ghorofa 2
4.TanRoads Regional Office

Tayari hapo Gap ya 8 imekuwa extended zaidi 😂😂
Kwa hiyo Kahama haijengi sio 😂? Manispaa imeendesha ujenzi wa maghorofa mengi sana ya halmashauri na hospital, na ujenzi wa maghorofa Kahama uneshika kasi zaidi kuanzia hiyo 2022 mpaka sasa
 
The sleeping Second giant of lake zone Shinyanga 💥💥 watu wa Njombe mjifunze jinsi ya kujenga Miji yenu.
Screenshot_20250627-160205~2.png
Screenshot_20250627-155441~2.png
Screenshot_20250627-155852~2.png
Screenshot_20250627-154902~2.png
Screenshot_20250627-155259~2.png
Screenshot_20250627-154703~2.png
Screenshot_20250627-154333~2.png
Screenshot_20250627-155934~2.png
Screenshot_20250627-160025~2.png

Mji hauna fujo kabisa yaani very cool, Kama huwa unatafuta mji mtulivu wa kuishi na kula maisha kwa lake zone huwa naona Shinyanga ni chaguo sahihi
 
Njombe bado iko level ya vijiji vikubwa vyenye fujo ya pesa tu 😂 😂 😂
Kanda ya ziwa kuna miji kama Shinyanga hiyo Kahama bado hawezi kuizidi na ni kama roll model wake, lakini kwa miji kama Njombe hapana kwa kweli
Hapa ndio umeandika pumba gani?

Njombe haijaizidi Shinyanga ila sio gulio la Kahama 😁😁👇👇
02.JPG
AF1QipPVZc0ZwvFCR7GXBb-sOSU4CxzWUzX0Nd3VZBMy=w600-h321-p-k-no.jpg
information_items_1618931.jpg
03.JPG
fm-hotel-2.jpg
getlstd-property-photo-1.jpg
maxresdefault-2.jpg
IMG_20221126_135513_013.jpg
06.JPG
2133522_2018-07-03.jpg
 
The sleeping Second giant of lake zone Shinyanga 💥💥 watu wa Njombe mjifunze jinsi ya kujenga Miji yenu.
View attachment 3385784View attachment 3385789View attachment 3385790View attachment 3385791View attachment 3385785View attachment 3385786View attachment 3385787View attachment 3385792View attachment 3385793

Mji hauna fujo kabisa yaani very cool, Kama huwa unatafuta mji mtulivu wa kuishi na kula maisha kwa lake zone huwa naona Shinyanga ni chaguo sahihi
Miji ya hivi ndio Mimi napenda kuishi.Huko kwenye magulio kama Kahama,Tunduma,Makambako,Katoro nk hapana
 
Back
Top Bottom