Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Hizi ni stori tuu onesha kiwanda Cha maana hapo
Dawa imekuingia naona, 😂😂😂🔧🔨🔨🔨🔨🔨
Njombe inatakiwa itambe huko huko nyanda za juu kusini na ukiileta lake zone tutakucheka itaishia kula kipondo tu, hapa inateswa na Kahama tu 😂 😂 😂 😂 na nakuhakikishia haitachomoa
 
Mjombe Ina viwanda vingi kuliko Hilo gulio la Kahama
 
Alisikika mlevi mmoja akisema 🔨😂🔨🔨😂😂😂😂

Halafu Njombe ipi? Mkoa au Njombe mji? 😄😄😄
Unazani Kuwa kwenye list ya Miji 10 mikubwa Tanzania ni kirahisi rahisi tu, Njombe mji haitakanyaga hili kundi haina wa kumtoa, halafu hakuna wa kuitoa Kahama
 
Mamlaka ya Mapato Tanzania @tratanzania Mkoa wa Njombe imefanikiwa kuvuka lengo la ukusanyaji wa mapato kwa kufikia asilimia 108 kwa kipindi cha mwaka wa fedha 2024/2025 ikilinganishwa na mwaka wa fedha 2023/2024 ambapo makusanyo yake yalifikia asilimia 104.8

Hayo yamesemwa na Meneja wa TRA mkoa wa Njombe Bi. Specioza Mickness Owure wakati wa hafla ya kuwashukuru walipa kodi wa Mkoa wa Njombe ambapo ameongeza kuwa wamekusanya kiasi cha Shilingi Bilioni 38.2 kutoka shilingi bilioni 35.6 kama lengo la mwaka mzima.

Katika hatua nyingine meneja huyo amewaasa wafanyabiashara wanaoanza biashara zao wafike katika ofisi za mamlaka hiyo ili waelekezwe Jinsi ya kulipa kodi kwa Muda sahihi kuepuka migogoro.

Nao baadhi wa wafanya biashara mkoa wa njombe akiwemo Siphaeli Paschal Msigala na Menad Raphael Mlyuka wameeleza namna ambavyo wanamhusiano chanya na TRA kwa ulipaji wa kodi na kitengo cha elimu kiongeze juhudi za kutoa elimu ili wafanya biashara waweze kuelimika zaidi.
FB_IMG_17513916607434219.jpg
 
Alisikika mlevi mmoja akisema 🔨😂🔨🔨😂😂😂😂

Halafu Njombe ipi? Mkoa au Njombe mji? 😄😄😄
Unazani Kuwa kwenye list ya Miji 10 mikubwa Tanzania ni kirahisi rahisi tu, Njombe mji haitakanyaga hili kundi haina wa kumtoa, halafu hakuna wa kuitoa Kahama
Njombe Mji , Njombe Mkoa.
 
Dawa imekuingia naona, 😂😂😂🔧🔨🔨🔨🔨🔨
Njombe inatakiwa itambe huko huko nyanda za juu kusini na ukiileta lake zone tutakucheka itaishia kula kipondo tu, hapa inateswa na Kahama tu 😂 😂 😂 😂 na nakuhakikishia haitachomoa
Kuna dawa kweli hapo au pumba? Onyesha viwanda.
 
Sasa nyie viwanda vya kupakia tu maparachichi hivyo ni viwanda kwani 😂 🤗 au vinatengeneza maparachichi artificial? Kuna kipi cha maana kinafanyika kwenye viwanda vya parachichi 😂😂😂😂😂😂 si bora hata hiyo kukoboa mpunga au na parachichi zinakobolewa? Halafu vya mpunga ni vingi sana na serikali inavitambua ndio maana hata umeme vinafungiwa wa viwanda

Unaposema kiwanda cha Kahama fresh tu ndio cha maana niambie hivi 👇 😂 😂 ambavyo tayari vipo Kahama na vinafanya kazi sio vya maana?😂😂😂👇👇
1. Kiwanda cha vipuli
2. Kiwanda cha mabomba ya maji
3. Viwanda vya kuchakata pamba ili kupata nyuzi (Gingery)
4. Kiwanda cha steel (nondo)
5. Kiwanda cha Bati
6. Viwanda vya unga Kama vile MUYAMA, KRISH etc
7. Kiwanda cha viti na meza za plastic

At least wewe huwa unajitahidi kutafuta data ila hao jamaa zako wa Njombe hapana kwa kweli wana ushamba mwingi sana 😂😂😂😂😂😂
Unawajua KOM COMPANIES hapo Kahama lakini 😄😄😄? Makao makuu yao ni Kahama na wanaviwanda vyinavyotengeneza vitu vingi sana soma hapo 👇 jibu utalipata, viwanda vya kampuni moja tu hili hapo Kahama hamjavifikia lakini makelele kibao
View attachment 3386588
Swala la Njombe mji kuizidi Kahama bado sana na sizani kama itatokea
Acha kujitoa ufaham , pitia hapo utaona baadhi ya viwanda, vya mpunga sijafika kama nyie mnavyotiwekea eti kiwanda cha maparachichi 🤗😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mashine za mpunga makambako zipo za kutosha hapa huwa tunakuletea project kubwa sio hizo mashine na Kuna utofauti wa uzalishaji wa mafuta ya parachichi haya UWEKEZAJI wake NI mkubwa na unahitaji mtaji mkubwa mfano makambako Kuna viwanda vitatu vya mafuta ya parachichi mfano kiwanda Cha mafuta ya parachichi Cha avo Africa ambacho Hadi Sasa kimetumia billion 25 na bado ujenzi unaendelea kwaajili ya product mbalimbali zitokanazo na tunda la parachichi Kama mbolea ,juice nk usilinganishe na rice milling hizo zipo za kutosha
FB_IMG_17435670165007390.jpg
FB_IMG_17496935377197420.jpg
 
Acha kujitoa ufaham , pitia hapo utaona baadhi ya viwanda, vya mpunga sijafika kama nyie mnavyotiwekea eti kiwanda cha maparachichi 🤗😂😂😂😂😂😂😂😂
Haha we jamaa usituletee mashine za mpunga humu Soma pesa za UWEKEZAJI hizo ndo utambue makambako pana UWEKEZAJI na hii ni project ya kampuni moja tu👇👇👇
TANZANIA – Avo Africa is investing 20 billion shillings (USD 7.9 million) to establish an avocado oil manufacturing facility in Makambako, Njombe region, Tanzania.

The plant is set to begin operations by the end of February and is expected to process 600 tons of avocados daily.

By focusing on processing, Avo Africa aims to address the challenge of limited value addition in the Tanzanian avocado sector, which has long relied on raw exports.

The company has outlined plans to expand the facility’s capacity further by mid-2025. Two additional production lines will be installed, doubling the plant’s ability to process avocados.

These developments position Avo Africa to better compete in the growing global avocado oil market, valued at USD 610.5 million in 2024 and projected to grow annually by 4.2% until 2033, according to market research firm IMARC Group.

Tanzania’s avocado production reached over 75,500 tons in the 2022/2023 season, as reported by the National Bureau of Statistics. The new manufacturing unit offers a promising market for local farmers and is expected to improve their earnings.

It also signifies an important milestone for the region’s agricultural sector, encouraging economic growth and employment.

While the development in Tanzania brings optimism, avocado supply issues have affected neighboring South Africa.

Woolworths, a major South African retailer, recently confirmed an avocado shortage caused by reduced exports from Tanzania and lower harvest volumes in South Africa’s Eastern Cape.

“Unexpected logistical delays affecting avocados originating from
 
Mashine za mpunga makambako zipo za kutosha hapa huwa tunakuletea project kubwa sio hizo mashine na Kuna utofauti wa uzalishaji wa mafuta ya parachichi haya UWEKEZAJI wake NI mkubwa na unahitaji mtaji mkubwa mfano makambako Kuna viwanda vitatu vya mafuta ya parachichi mfano kiwanda Cha mafuta ya parachichi Cha avo Africa ambacho Hadi Sasa kimetumia billion 25 na bado ujenzi unaendelea kwaajili ya product mbalimbali zitokanazo na tunda la parachichi Kama mbolea ,juice nk usilinganishe na rice milling hizo zipo za kutosha View attachment 3390829View attachment 3390831
😂😂😂😂😂 Kiwanda cha parachichi 😂😂😂😂
 
Haha we jamaa usituletee mashine za mpunga humu Soma pesa za UWEKEZAJI hizo ndo utambue makambako pana UWEKEZAJI na hii ni project ya kampuni moja tu👇👇👇
TANZANIA – Avo Africa is investing 20 billion shillings (USD 7.9 million) to establish an avocado oil manufacturing facility in Makambako, Njombe region, Tanzania.

The plant is set to begin operations by the end of February and is expected to process 600 tons of avocados daily.

By focusing on processing, Avo Africa aims to address the challenge of limited value addition in the Tanzanian avocado sector, which has long relied on raw exports.

The company has outlined plans to expand the facility’s capacity further by mid-2025. Two additional production lines will be installed, doubling the plant’s ability to process avocados.

These developments position Avo Africa to better compete in the growing global avocado oil market, valued at USD 610.5 million in 2024 and projected to grow annually by 4.2% until 2033, according to market research firm IMARC Group.

Tanzania’s avocado production reached over 75,500 tons in the 2022/2023 season, as reported by the National Bureau of Statistics. The new manufacturing unit offers a promising market for local farmers and is expected to improve their earnings.

It also signifies an important milestone for the region’s agricultural sector, encouraging economic growth and employment.

While the development in Tanzania brings optimism, avocado supply issues have affected neighboring South Africa.

Woolworths, a major South African retailer, recently confirmed an avocado shortage caused by reduced exports from Tanzania and lower harvest volumes in South Africa’s Eastern Cape.

“Unexpected logistical delays affecting avocados originating from
Umeona nimepost hata kiwanda cha mpunga humu? Quote hiyo post ya kiwanda cha mpunga 🤗
Kupakia tu maparachichi hicho nacho ni kiwanda 🤔🤔 nimewekea viwanda vinavyo shughulika na mambo ya maana
Unawajua KOM COMPANIES hapo Kahama lakini 😄😄😄? Makao makuu yao ni Kahama na wanaviwanda vyinavyotengeneza vitu vingi sana soma hapo 👇 jibu utalipata, viwanda vya kampuni moja tu hili hapo Kahama hamjavifikia lakini makelele kibao
View attachment 3386588
Swala la Njombe mji kuizidi Kahama bado sana na sizani kama itatokea
Mfano 🖕 kampuni moja linamiliki viwanda zaidi ya vitano Kahama na hakuna kelele 😂 😂
Nyie kiwanda cha parachichi makelele kama yote, punguzeni ushamba, mnapokanyaga Kahama ilishapita ndio maana hata watu hawabishani sana na nyie sababu wanaona kinachowasumbua ni ushamba na MASHIKOLO MAGENI 😂😂😂
 
Umeona nimepost hata kiwanda cha mpunga humu? Quote hiyo post ya kiwanda cha mpunga 🤗
Kupakia tu maparachichi hicho nacho ni kiwanda 🤔🤔 nimewekea viwanda vinavyo shughulika na mambo ya maana

Mfano 🖕 kampuni moja linamiliki viwanda zaidi ya vitano Kahama na hakuna kelele 😂 😂
Nyie kiwanda cha parachichi makelele kama yote, punguzeni ushamba, mnapokanyaga Kahama ilishapita ndio maana hata watu hawabishani sana na nyie sababu wanaona kinachowasumbua ni ushamba na MASHIKOLO MAGENI 😂😂😂
Hizo level makambako ilishapita leta mtaji gan uliowekwa ndo tutajua ukubwa wa project sio kutuletea godawn hapa hizo makambako zipo za kutosha
 
Umehamia Makambako 😂😂😂😂😂 Njombe vipi?
Hizo level makambako ilishapita leta mtaji gan uliowekwa ndo tutajua ukubwa wa project sio kutuletea godawn hapa hizo makambako zipo za kutosha
Tumalize mmoja mmoja kwanza, mnachanganya watu hawaelewi ni Kahama inashindana na Njombe au mkoa mzima wa Njombe 😂😂😂😂😂🤗🤗

Huoni mnaaibika kwanza yaani wilaya inashindana na Mkoa mzima 😂😂😂😂 halafu bado hamna cha kuishinda 😄😄😄
 
Back
Top Bottom