Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,350
- 1,005
Majengo marefu yapi hapo Njombe? Kuna hata ghorofa iko na floor 10+?Vitu vingi tu ukianzia miundombinu yote kahama inazidiwa ,majengo marefu nk inacho zidi kahama kwa njombe NI kuzaliana basi
Kwa maghorofa mazuri na Makubwa Njombe ikae pembeni naijua vizuri mno