Kahama VS Njombe/Mafinga

Kahama VS Njombe/Mafinga

Kuna viwanda vingapi vinafanya kazi hapo Njombe mji kwa sasa?🤔😄😄
Viwanda vingi makambako kwa Sasa vinafanya kazi ambavyo vipo kwenye hatua za ujenz NI makambako steel industrial park na vya karatasi ila Kama vya plastic ,nondo ,mabati ,misumari vilishaanza kazi mfano product za MSD industrial Park idofi
FB_IMG_17435671517755235.jpg
FB_IMG_17435671443332391.jpg
 
Kahama tayari steel industry inafanya kazi zaidi ya miaka kumi sasa kama sikosei kwenu ni MASHIKOLO MAGENI
We jamaa hivyo vya steel vya kahama NI sawa na VIWANDA vya rosper makambako hivi unaifahamu steel industrial Park tunayokwambia inajengwa Ina zaidi ya VIWANDA 50 kwa uchache Kuna Cha unga wa chuma ,magari ,spea za magar,cement nk pana ekari kwa Sasa zinakaribia 700 usituletee viproject vya kitoto hapa hiki NI kiwanda mama Cha chuma TANZANIA sio vya skrepa
FB_IMG_17435671713703705.jpg
FB_IMG_17435670795840769.jpg
 
Kahama tayari steel industry inafanya kazi zaidi ya miaka kumi sasa kama sikosei kwenu ni MASHIKOLO MAGENI
Haya angalia hivyo navyo vya chuma vinapiga kazi usilinganishe na project ya chuma makambako steel industrial Park
FB_IMG_17510834621699713.jpg
 
Ushamba utawatoka tu ningali nipo, kuna siku mmepiga kelele humu mji wa viwanda 🤗😂😄 yaani kelele kibao bila kujua huo ni ushamba ulikuwa unawasumbua 😢

Mimi najua kila halmashauri ina hizo plan za viwanda, Kahama tangu 2017 walishaanza kitambo tu na hakuna kelele kwa sababu viwanda sio kitu kigeni vilikuwepo Shinyanga kitambo sana
Sasa Kahama pia walitenga eneo kubwa tu, in short hamna kitu chochote cha kutambia mbele ya Kahama View attachment 3386070
Kahama ina viwanda vinavyo milikiwa na KOM COMPANIES vya kuzalisha bidhaa za plastic, chuma,mabati na mabomba ya maji
Kuna kiwanda cha vipuli pia, viwanda vya pamba, plant za dhahabu etc
View attachment 3386077
FB_IMG_17496935377197420.jpg
FB_IMG_17429779668858065.jpg
 
Kahama tayari steel industry inafanya kazi zaidi ya miaka kumi sasa kama sikosei kwenu ni MASHIKOLO MAGENI
Kahama tayari steel industry inafanya kazi zaidi ya miaka kumi sasa kama sikosei kwenu ni MASHIKOLO MAGENI
HAYA TUNAVO KWAMBIA MJI WA VIWANDA UWE UNAELEWA BAADA YA FIDIA PROJECT INAANZA EKARI 200 VINATAZAMANA NA MAKAMBAKO STEEL INDUSTRIAL PARK 👇👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DLWnx-pNrYb/?igsh=YzljYTk1ODg3Zg==
 
Mashine za kukoboa mpunga ndio viwanda? 😁😁😁😁

Kuna Kahama Fresh labda ndio Cha maana.

Pia Ile Buzwagi industrial Complex ikija kuanza Kujengwa ndio kutakuwa na viwanda Kwa sababu nafahamu Kuna Mpango wa kujenga kiwanda Cha betri ,kusafisha nickel etc but so far ni matarajio.
 
We jamaa hivyo vya steel vya kahama NI sawa na VIWANDA vya rosper makambako hivi unaifahamu steel industrial Park tunayokwambia inajengwa Ina zaidi ya VIWANDA 50 kwa uchache Kuna Cha unga wa chuma ,magari ,spea za magar,cement nk pana ekari kwa Sasa zinakaribia 700 usituletee viproject vya kitoto hapa hiki NI kiwanda mama Cha chuma TANZANIA sio vya skrepaView attachment 3386339View attachment 3386340
Renda 😂😂 hii ko subiri ikamilike ndio upige kelele
 
Maparachichi na viwanda vya mbao kawaida kabisa huko Njombe maana raw materials mnazo za hayo mambo, Kahama pia vipo vingi vya dhahabu( plant) na pamba sababu raw material ni ya kutosha kwa hivyo vitu

Halafu cha kushangaza ni kwamba Kahama Manispaa (wilaya ndani ya Shinyanga) inapambana na Mkoa mzima wa Njombe ( Njombe na Makambako) na bado hamchomoki 😂😂😂😂

Mpaka hapa hii mechi inasoma Njombe mji 1-3 Kahama au
(Njombe+Makambako)2-3 Kahama 🤗😄😄
 
Mashine za kukoboa mpunga ndio viwanda? 😁😁😁😁

Kuna Kahama Fresh labda ndio Cha maana.

Pia Ile Buzwagi industrial Complex ikija kuanza Kujengwa ndio kutakuwa na viwanda Kwa sababu nafahamu Kuna Mpango wa kujenga kiwanda Cha betri ,kusafisha nickel etc but so far ni matarajio.
Sasa nyie viwanda vya kupakia tu maparachichi hivyo ni viwanda kwani 😂 🤗 au vinatengeneza maparachichi artificial? Kuna kipi cha maana kinafanyika kwenye viwanda vya parachichi 😂😂😂😂😂😂 si bora hata hiyo kukoboa mpunga au na parachichi zinakobolewa? Halafu vya mpunga ni vingi sana na serikali inavitambua ndio maana hata umeme vinafungiwa wa viwanda

Unaposema kiwanda cha Kahama fresh tu ndio cha maana niambie hivi 👇 😂 😂 ambavyo tayari vipo Kahama na vinafanya kazi sio vya maana?😂😂😂👇👇
1. Kiwanda cha vipuli
2. Kiwanda cha mabomba ya maji
3. Viwanda vya kuchakata pamba ili kupata nyuzi (Gingery)
4. Kiwanda cha steel (nondo)
5. Kiwanda cha Bati
6. Viwanda vya unga Kama vile MUYAMA, KRISH etc
7. Kiwanda cha viti na meza za plastic

At least wewe huwa unajitahidi kutafuta data ila hao jamaa zako wa Njombe hapana kwa kweli wana ushamba mwingi sana 😂😂😂😂😂😂
 
Mashine za kukoboa mpunga ndio viwanda? 😁😁😁😁

Kuna Kahama Fresh labda ndio Cha maana.

Pia Ile Buzwagi industrial Complex ikija kuanza Kujengwa ndio kutakuwa na viwanda Kwa sababu nafahamu Kuna Mpango wa kujenga kiwanda Cha betri ,kusafisha nickel etc but so far ni matarajio.
Naendelea kuwafungua macho soma hiyo 👇👇 utaelewa kwa nini nasema Njombe mji haiwezi kuipita Manispaa ya Kahama kizembe kama ulizani Kahama hakuna viwanda vingine vya maana vinavyojengwa tambua kuanzia sasa

Kiwanda cha kusafisha makinikia ya nickel tayari ujenzi ulishaga anza tangu 2024 huko
Screenshot_20250628-131210.png
Screenshot_20250628-131506.png
Screenshot_20250628-131518.png
Screenshot_20250628-131551.png
 
Back
Top Bottom