Kwani tulitegemea majibu ?
Toka lini Mtanzania akapata majibu bana ?
Tuna formulate maswali na ku brainstorm majibu wenyewe kila siku hapa, na the Zitto's of the world couldn't give a hoot kutafuta majibu.
Ukishabweteshwa na privileges za Tume za Rais na kuweza kutembea kwenye corridors na sebule za Magogoni bila kuulizwa we nani utakumbuka kutafutia wananchi majibu ?
You see, hicho ndio anachoogopa Zitto hicho.
That's what I'm talking about nikisema Zitto anataka kujijengea gravitas. Ile image ya back bencher truth teller na kukemewa kemewa na Spika haitaki tena. Ameshaingizwa kwenye wanaoaminiwa na Tume za Rais.
You see, this is why Dr. Slaa is the most ballsy leader in modern history of Tanzania.
Kuhani, nadhani utakuwa humtendei haki Zitto katika hili. Tumeshaona hata kwa wenzetu walioendelea kwenye mahojiano yao na waandishi wa habari njinsi wanavyoweza kukwepa maswali ambayo huleta direct confrontation baina yao na waajiri. Sisi kama wananchi ni waajiri wa wabunge, lakini ili wawe wabunge ni lazima wale viapo ambavyo vitathibitisha maadili ya kazi zao kama vile ambavyo inatakiwa kuwa kulingana na miongozo tuliojiwekea sisi wananchi - Katiba.
Sasa kumlazimisha kiongozi kutamka maneno fulani ambayo yatafurahisha jamvi na kumfanya awe shujaa kwa dakika chache za JF hali zitakazo mfanya asiweze kuwakilisha wananchi wa jimbo lake kwa kipindi kisicho julikana, huko ni kutomtendea haki. Tukubali kwamba ameshataja mengi ambayo hamna kiongozi mwingine ameweza kutaja tayari kuhusiana na swala hili na kwenye thread hii.
Je, tuwe watu wa kulazimishana tu katika kila jambo, kwa kuchukulia kila neno linaloandikwa iwe kimakosa au bila makosa kwa dhati kwenye mtandao kama tamko la katiba? Hapana, huu utakuwa unyanyasaji wa kimtandao (cyber bullying). Jambo ambalo wote naamini tungependa kuepukana nalo. Tuko kwenye majadiliano ndugu yangu, basi pale mtu anapoenda mrama/mlama asihukumiwe jumlajumla. Ni mawaidha yangu, ahsante.
SteveD.
Hivi ile tume imeshafanya direct slowness induction kwa Zitto katika ufuatiliaji wa mambo yanayohusu maslahi ya wananchi kwa ujumla?
Kuhani, nadhani utakuwa humtendei haki Zitto katika hili. Tumeshaona hata kwa wenzetu walioendelea kwenye mahojiano yao na waandishi wa habari njinsi wanavyoweza kukwepa maswali ambayo huleta direct confrontation baina yao na waajiri. Sisi kama wananchi ni waajiri wa wabunge, lakini ili wawe wabunge ni lazima wale viapo ambavyo vitathibitisha maadili ya kazi zao kama vile ambavyo inatakiwa kuwa kulingana na miongozo tuliojiwekea sisi wananchi - Katiba.
Sasa kumlazimisha kiongozi kutamka maneno fulani ambayo yatafurahisha jamvi na kumfanya awe shujaa kwa dakika chache za JF hali zitakazo mfanya asiweze kuwakilisha wananchi wa jimbo lake kwa kipindi kisicho julikana, huko ni kutomtendea haki. Tukubali kwamba ameshataja mengi ambayo hamna kiongozi mwingine ameweza kutaja tayari kuhusiana na swala hili na kwenye thread hii.
Je, tuwe watu wa kulazimishana tu katika kila jambo, kwa kuchukulia kila neno linaloandikwa iwe kimakosa au bila makosa kwa dhati kwenye mtandao kama tamko la katiba? Hapana, huu utakuwa unyanyasaji wa kimtandao (cyber bullying). Jambo ambalo wote naamini tungependa kuepukana nalo. Tuko kwenye majadiliano ndugu yangu, basi pale mtu anapoenda mrama/mlama asihukumiwe jumlajumla. Ni mawaidha yangu, ahsante.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kwa taarifa nilizonazo, Lowasa kama mtu binafsi hahusiki na KAGODA. Ana matatizo yake lakini katika hili mtakuwa mnamwonea tu. Sasa tusionee watu. Tuwe wakweli. KAGODA, kwa taarifa nilizo nazo mimi ni state sponsored corruption.
Maoni yangu binafsi tu hayo
SteveD,
Nina hakika Kuhani means no harm na anajaribu tu kugonganisha vichwa - after all he is lucky to have the curiosity of a cat - which is not a bad thing. We are often reminded that at the frontiers of knowledge, it is the difference in the thinking that points the way. Kuhani is definitely having a field day - remember it is a weekend - I only hope he has the lives of the same cat 🙂
Hata kama unamchukia Lowasa ,Zito ansema ukweli.Inawezekana kumbukumbu zako ni ndogo unajua kwamba wizi huu umefanyika kambla JK na EL hawajashika post hizo.sasa ushiriki wao ulikwa vipi wakati hawakuwa na maamuzi kuhusu benki kuu.Zitto,
Nyaraka zako zinaweza kabisa kuwa ziko 80% accurate na hiyo 20% ambayo huna ndiyo hiyo inayomuingiza Lowassa katika Kagoda. Haya mambo si rahisi kufikia conclusion bila ya kuwa na ushahidi uliokamilika.
Hata kama unamchukia Lowasa ,Zito ansema ukweli.Inawezekana kumbukumbu zako ni ndogo unajua kwamba wizi huu umefanyika kambla JK na EL hawajashika post hizo.sasa ushiriki wao ulikwa vipi wakati hawakuwa na maamuzi kuhusu benki kuu.
Kuhani,Mag3
Unajua kina SteveD na kina TanzaniaNjema wanachohofia ni kupoteza watu kama Zitto kwenye jamvi kwa kuwa wanakuwa lambasted wakija. It's a misguided fear for any number of reasons.
Kwanza, the more fearful the forum the more formidable and credible it is. Ukiangalia hata discussion forums kama vile Meet the Press, zinaogopwa kama ukoma lakini hiyo ndio sababu zinaheshimika. Na mtu hajawa kiongozi Marekani kama hajaweza kufaulu acid test ya Meet the Press. Same here. Watakaoogopa kuja hapa ni vilazas in the first place, and we can do without them. Ok ?
Furthermore, the Zitto's of the world need JF no less than we need them. Ok ? They pick up an idea or two when they come here and the ideas end up in Parliament. Tena labda wangeanza kulipa royalties na ku-cite references za mawazo wanayoyapata JF! Kwa hiyo sidhani Zitto ataanza kuogopa kuja hapa. We need him, he needs us, OK ?
And then, tukisema viongozi watakaokuja hapa tuwe tunawalea lea ili wasije kimbia tutakuwa wanafiki, wazandiki na wazembe. Yani tuwe tunapiga kelele humu weee halafu wakija kujibu tuwapeteshe na kuwalea lea ? No pal, include me out!
Kipindi cha mwisho cha maisha ya Mwalimu, Prof. Haruoub Othman aliwahi kupata baraka za Mwalimu ili aandike biography ya Mwalimu. Bahati mbaya Mwalimu akafariki kabla hilo halijafanyika.Mh. Zitto, hilo swala la viongozi kuandika ni la muhimu sana. Nakumbuka Mkjj alimhoji SAS kuhusiana na kuandika biography yake... kama sikosei alisema analifikiria hilo jambo... ni kitambo sasa.
Maendeleo Tz na nchi nyingi Africa bila kuwa na documented evidence ya mawazo ya viongozi wetu ni kazi ngumu. Wenzetu hata wanajeshi wao wakiwa kwenye frontlines bado wanaandika progress za mapigano.... Yaani mwaka huu 2008 bado waweza kusoma mawazo ya mpiganaji aliyeshiriki Wild wild west, WWI, Trafalga battle n.k. Wakati sisi viongozi tena wa ngazi za juu kabisa hawana hata walichokiandika mpaka mauti zinawakuta... jamani tutafika kweli... bora hata ya wewe na baadhi ya wachache walioamua kushiriki kwenye majamvi kama haya... at least that way, mawazo yenu yatabakia yakijulikana katika jamii for generations to come...
Shukrani.
SteveD.
Politics as usual..Nimeuliza swali uka ignore...Kuhani amekulima swali lile lile na bado unakwepa kisiasa.
Mfano niliotowa kuhusiana na kauli ya usalama wa Taifa ni similar in terms of ambiguity.
Unaposema state allowed the deal na huku ukisema Lowassa hakuwakilisha state bali chama ndipo naposhindwa kuelewa.
Kwenye execution ya hiyo deal si ni lazima kuna procedures za ku approve?
Unapothubutu kusema EL hakuhusika hata kidogo yeye binafsi una maana gani?
Kuna ubinafsi na u state hapo na sielewi vigezo vyako vya kumetetea EL na kumpakazia huyo state peke yake.
Hivyo wewe una maoni gani? Mhe Zitto. sema. jieleze bwana. Una lipi la mbadala au unafurahia posho tu na wewe!!!!!!!Maoni yangu binafsi tu hayo
Khee usinchekshe. tulia wewe kama unanyolewa. kwani wewe si mtu wa kunyolewa tu. Njoo Zenji. Kikwajuni Juu.Naomba wana CCM, wapenzi wa CCM mashabiki na waganga wao wa jadi wasituvuruge, watulie kama wananyolewa kwa wembe.
Hii issue bado mbichi kabisa, mwakani nilazima iingie rasmi mezani kwa Obama.
Jiandaeni kuva vilema vya manysi na mabua ya mpunga, nahii zenu nyie(kumradhi).