you are not serious at all. Haya angalia haba kurefresh mind yako https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/20767-habari-njema-je-mnayajua-haya-3.html
Basi ungeishia hapo Zitto. Unapoanza kutuambia kigezo cha "state sponsored corruption" unakuwa msanii. Who is "the state" ? You tell us.
Who is "the state" ?
Kina JMushi na watu wengine wenye akili ni lazima watakuuliza kama Waziri Mkuu sio the state who is "the state" ?
"The state" inaweza kwenda jela ? Unajua "the state" ni smokescreen, mtu kama ghost vile, na huwezi kumpata kumpeleka polisi, kwa hiyo unasema aliyetenda ufisadi wa Kagoda "ni state" ili asipelekwe mtu kwenye vyombo vya sheria, sio ?
Who is "the state" ?
Jamani, hivi kitu kikishasemwa ni "state sponsored" bado kuna ufafanuzi unatakiwa kweli - mbona hii ni "self-evident and axiomatic". The buck stops with the highest authority in the land, period. State house can be a very lonely place and if you doubt this, muulize Kichaka.
State sponsored corruption is different from 'using state to cover' NO. It means state allowed the deal.
Kuhani by state sponsored corruption i meant deal lilisukwa na wakuu kadhaa na kulibariki kwa sababu maalumu. Sina maana ya zile sababu za Balali "fedha za usalama' hapana. Utakuwa umeelewa vibaya.
State sponsored corruption is different from 'using state to cover' NO. It means state allowed the deal.
Umeelewa vibaya kabisa kabisa! Ndio maana umenituhumu mambo ya ajabu kweli. Hata hivyo, sijatilia maanani.
Who is the state who allowed the deal!? Zitto, hakuna state iliyoruhusu EPA deal hawa ni watu ambao ni wezi tu ambao kwa namna moja au nyingine wamenufaika na wizi mkubwa wa EPA ili kujitajirisha wao, familia zao na marafiki zao. Hili swala la state kuruhusu hiyo deal halipo kabisa.
Maoni yangu binafsi tu hayo
Jamani, hivi kitu kikishasemwa ni "state sponsored" bado kuna ufafanuzi unatakiwa kweli - mbona hii ni "self-evident and axiomatic". The buck stops with the highest authority in the land, period. State house can be a very lonely place and if you doubt this, muulize Kichaka.
Politics as usual..Nimeuliza swali uka ignore...Kuhani amekulima swali lile lile na bado unakwepa kisiasa.
Mfano niliotowa kuhusiana na kauli ya usalama wa Taifa ni similar in terms of ambiguity.
Unaposema state allowed the deal na huku ukisema Lowassa hakuwakilisha state bali chama ndipo naposhindwa kuelewa.
Kwenye execution ya hiyo deal si ni lazima kuna procedures za ku approve?
Unapothubutu kusema EL hakuhusika hata kidogo yeye binafsi una maana gani?
Kuna ubinafsi na u state hapo na sielewi vigezo vyako vya kumetetea EL na kumpakazia huyo state peke yake.
Who is the state? Watu
Jamani, ni mmoja tu ndiye anayejibu madukuduku yetu kwenye thread hii... na ndiyo huyu huyu mmoja tunayemtaka ajibu kila swali katika muda tunaoonekana kumpangia... Hapana, tuwe na subira jamani pale anapoonekana kuchelewa.
Sitaki kuwa mtetezi wa Lowasa hapa maana siwezi kufanya hivyo. Nilikuwa naweka facts sawa ili tusiyumbishwe wakati tumeshawaround wezi wetu.
KAGODA took money from BOT between August 1st and December 14th 2005. EL became PM December 30 2005.
Kipindi hicho hapakuwa na 'substantive PM' hivyo hata Sumaye hayumo katika state hiyo ninayoisema. Watu 4 wanajua KAGODA - watajulikana soon. Watapelekwa mahakamani, mimi sijui.
Tunashukuru kwa taarifa hizo...Hao watu wanne tunawasubiri kwa hamu sana..Lakini kama pesa ziliwafikia kwa namna moja ama nyingine then still wako responsible..Kwasababu kama nilivyoelewa hapo juu ni kwamba watuhumiwa hao walitumia loop hole hapo kwasababu sasa wanataka kusema kulikuwa hakuna utawala kwa kipindi hicho cha august 1st na december 14th....Kwasababu kulikuwa hakuna waziri mkuu..Sumanye anasema yeye hakuwa state na El ana claim the same..Kama vile walijuwa watakavyojitetea...Kagoda ni mradi mkubwa na maelezo na malengo yake ni mazuri ila hao state ndio wameharibu na wamekula pesa nyingi sana...Sasa ina maana hatuna sheria zinazo govern transition period na who is responsible?
Maana dili hili na mengineyo yalivyokuwa ya kimafia si nasikia hata wakati wa holiday ndiyo mambo mengi yalifanyika ili kukwepa rekodi sahihi?
Haya tusubiri hao watu wanne ambao wanajuwa Kagoda kwasababu lazima kuna mtu aliye act on behalf of either prime ministers...Nadhani EL alikuwa hajakabidhiwa ofisi na umesema Sumaye alikuwa si state tena...Hao watu wanaodaiwa kuwa ni state walipitisha maamuzi hayo ndiyo tunawataka....Je ni kina nani hao wali act on behalf of the state kwenye transition period?
Kiutaratibu utawala uliokuwepo kabla ya kuapishwa na kusimikwa kwa utawala mpya ndio ambao bado wanakuwa responsible...Hata hapa US Obama bado ni president elect tu na anything happens Kichaka bado ni responsible..Vipi kuhusu sisi?

Sitaki kuwa mtetezi wa Lowasa hapa maana siwezi kufanya hivyo.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kwa taarifa nilizonazo, Lowasa kama mtu binafsi hahusiki na KAGODA. Ana matatizo yake lakini katika hili mtakuwa mnamwonea tu. Sasa tusionee watu. Tuwe wakweli. KAGODA, kwa taarifa nilizo nazo mimi ni state sponsored corruption.
Maoni yangu binafsi tu hayo
Come on Zitto, come on!
Hii hapa chini ni very compelling closing argument ya public attorney wa Lowassa, Zitto Kabwe.
Kudos JMushi kwa kumention hapo juu mkuu.
Ha ha ha ha! Does it sound so?
Wasnt the intention. Couldnt even imagine