Bongolander
JF-Expert Member
- Jul 10, 2007
- 5,067
- 2,226
Ndugu Zitto nina swali hapo kwenye kuhusu Kagoda kuwa State sponsored...Je kuna ufafanuzi wowote ule kuhusiana na individuals walio na majukumu ya kufanya maamuzi on behalf of the state?
Kwasababu ukisema tu kwamba ni "State sponsored" na kuishia hapo hakuna tofauti na kutumia kauli ya "Usalama wa Taifa" Bila ufafanuzi wa kuwa ni usalama wa Taifa wa aina gani huo wa kuuza nchi ama ni kina nani hao "State" waliofuja pesa za wananchi na kulitumbuliza Taifa kwenye umasikini kwasababu ya corruption.
Ama "State" haiundwi na individuals ambao ni lazima wawe held accountable in case of violations of the rules that governs the state and its people? This time corruption?
Ama inawezekana na The Head of State must have beeen involved?
Kazi ipo....Kati ya JK na EL kuna kutupiana mpira wa lawama as to who is responsible for the "State Sponsored" Corruption?
Jmushi kama ni kweli it was state sponsored tunatakiwa kujua hizo pesa zilitumika vipi, inawezekana kulikuwa na covert operations ambazo zilihitaji ujanja kama huo, lakini tunapaswa kuambiwa ni operations zipi na zimetunufaisha vipi. Labda Kagoda itafunua macho yetu ya kujua hasa nani ni kigogo wa ufisadi
Kwa hiyo Zitto endelea kuchunguza utajua ukweli wote sababu trace za bank transactions zinajulikana zote kwa hiyo utazipata tu na wewe kama ukichunguza au ukiwa na sources kwenye kamati ya mwanyika au kwenye Idara. Ni hayo tu.
Shall we ever know the truth in the this cloudy situation?
Shall we ever know the truth in the this cloudy situation?
...Kwasababu ukisema tu kwamba ni "State sponsored" na kuishia hapo hakuna tofauti na kutumia kauli ya "Usalama wa Taifa" Bila ufafanuzi wa kuwa ni usalama wa Taifa wa aina gani huo wa kuuza nchi ama ni kina nani hao "State" waliofuja pesa za wananchi na kulitumbuliza Taifa kwenye umasikini kwasababu ya corruption.
Ama "State" haiundwi na individuals ambao ni lazima wawe held accountable in case of violations of the rules that governs the state and its people? This time corruption?
Mkuu Zitto umesema vyema sana .Lakini sasa if that is the case kwamba the State was behind and is behind Kagoda leo watu wakimtaja Lowasa then JK hapatakuwa na kosa maana wao ndiyo walikuwa wakubwa ndani ya State ama hapa ni mimi sijaelewa ?
Shall we ever know the truth in the this cloudy situation?
Mama
Hili sio la uchunguzi tena. Kazi kubwa tumefanya na tumefikisha hapa ilipofika. We have all the information.
Jmushi,
Yani mi mwenyewe nimechoka akili hapo na huyu Mheshimiwa.
Zitto anadhani anaweza kusema vitu kijuu juu tu na kutumia maneno specious, eti "state sponsored corruption" halafu akamsafisha Lowassa na kutuchota kirahiiiisi.
Zitto sasa hivi anataka kukubalika kwa power brokers wa nchi, na kujijengea gravitas kwa wazee wa CCM, same playbook aliyotumia kijana Jakaya. Anataka avue ile image ya kuwa Mbunge mmoja mpiga kelele anaefukuzwa fukuzwa Bungeni. Anataka aalikwe kwenye cocktail parties Magogoni, aingizwe kwenye Tume za uchunguzi za CCM administration, hataki kina Makamba wakaanza kumrundika na "watoto wa kwenye intaneti" wanaokosoa Serikali.
Lakini wakati huo huo asingependa aonekana kama dalali wa CCM, hivyo inabidi aweze kupafekti sanaa ya kuuma na kupuliza. Hiyo ndio conundrum ya Zitto.
Okay, vipi kuhusu uchunguzi wa masuala ya madini? Hamjamaliza bado.
Madini tena ni la kwangu? Soma ripoti ya Bomani. Ni public document. Kazi yangu nilimaliza na nimeridhika nayo.
Tuendelee na EPA
Hizi tuhuma kubwa sana. Kitu kimoja kinachoongoz maisha yangu ni ukweli, na kuutafuta ukweli. Ninasema kweli daima hata kama ukweli utaumiza baadhi ya watu. No trace of Lowasa on EPA - KAGODA. Tena nimesema no trace ya Lowasa moja kwa moja! aweza kuwa linked kupitia chama chake, sio yeye binafsi.
Unajua Lowasa keshachafuka sana. Ni rahisi sana watu kumhusisha ili kupoteza malengo, na kutupoteza boya. Tumeshafika pazuri sana kwneye EPA na hawana pa kutokea. Kwa nyaraka zangu Lowasa hayumo. Ninaziamini sana nyaraka zangu.
...Kwa nyaraka zangu Lowasa hayumo. Ninaziamini sana nyaraka zangu.