Kaka bilioni 10 zisikie tu hivi. Hata kungekuwa na maktaba gani au maabara ya aina gani (hasa kwa shule ya sekondari) tena marekebisho, hizo hela nyingi sana.Usilinganishe hostel na shule mkuu? hahahahaaaaaa, kwenye hostel kuna maabara? kwenye histori kuna vitabu? Kwenye hostel kuna maktaba? Mkuu tuwe serious basi. Kwenye hostel si kuna ni frem za vyumba tu au.
Siyo ukarabati imejengwa upya baada ya kukumbwa na tetemeko.Bilion 10 si zilijenga JPM hostel? Sasa iweje hayo mabanda yatumie tena 10bn ukarabati?
hayo maswali yako hata ukipata majibu hayatakusaidia kitu peleka mtoto akasome hiyo shule basiKwa hiyo ile michango ya watu kusaidia wahanga wa tetemeko ndio imejenga shule?
Ama pesa za mfuko wa maafa zinazotengwa kila mwaka kwenye bajeti ya serikali ndio zimejenga shule?
Ama ni pesa za serikali zilizotengwa kukarabati shule kongwe mbalimbali nchini ndio zimejenga shule?
Kipi ni kipi haswaa.
Bilioni 10 ni hela ndogo sana mkuuKaka bilioni 10 zisikie tu hivi. Hata kungekuwa na maktaba gani au maabara ya aina gani (hasa kwa shule ya sekondari) tena marekebisho, hizo hela nyingi sana.
hahahaha hahahahhhhhhh, mwaka huu kwa kua vijana wa UV CCM tupo humu tutapelekeshna sana mpaka watambwela tuKuna watu hawapendi kabisa kuona kitu Kama hiki, wangefurahi sana wangeona wanafunzi wanakaa chini hapo ili wapate cha kuisema serikali Ila kwa shule hilo hakika Kuna watu wameumia sana.
Huu sio ukarabati wamejenga upya hapakuwa hivi...Bilion 10 si zilijenga JPM hostel? Sasa iweje hayo mabanda yatumie tena 10bn ukarabati?
Unamsifu Magufuli kwa kutumia fedha za rambirambi?JAMANI HAPO SIO #CHATO, NI BUKOBA...NI #YONA
Mambo hayo Dkt #Magufuli tutamkumbuka Sana uongozi unaoacha Alama kubwa, hatari kiukweli anastahiri pongezi kubwa mnooo.
Muonekano wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais Dkt. #Magufuli tarehe 18 Januari, 2020.
Shule hiyo imefanyiwa ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea mjini Bukoba tarehe 10 Septemba, 2016.
View attachment 1679952
View attachment 1679953
View attachment 1679954
View attachment 1679955
View attachment 1679956
Thamani yake hailingani na pesa ya michango waliyotoa wahisani Kipindi Cha tetemeko.Karibuni mje mjionee mambo ya Dkt. Magufuli hapo sio MABIBO HOSTEL UDSM
Mkuu hiyo imejegwa upya from scratch neno marekebisho linatumika kwasababu ilikuwa ina exist sio mpya.Kaka bilioni 10 zisikie tu hivi. Hata kungekuwa na maktaba gani au maabara ya aina gani (hasa kwa shule ya sekondari) tena marekebisho, hizo hela nyingi sana.
Siyo kwa mtindo huu mzee. Kama mjenzi wa miradi utakubali nalo kwambia, maana tunaangalia uhalisia.Bilioni 10 ni hela ndogo sana mkuu
Nyie ndiyo mtaona aibu kwa kutafuna michango ya wahisani.Ndio tunakwenda kuzindua ili mwone aibu vizuri.
Shule ipo bukoba ila cha ajabu mabweni yameandikwa majina kutoka uchaganiJAMANI HAPO SIO #CHATO, NI BUKOBA...NI #YONA
Mambo hayo Dkt #Magufuli tutamkumbuka Sana uongozi unaoacha Alama kubwa, hatari kiukweli anastahiri pongezi kubwa mnooo.
Muonekano wa Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais Dkt. #Magufuli tarehe 18 Januari, 2020.
Shule hiyo imefanyiwa ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea mjini Bukoba tarehe 10 Septemba, 2016.
View attachment 1679952
View attachment 1679953
View attachment 1679954
View attachment 1679955
View attachment 1679956
kuanzia kilimanjaro , uluguru mpaka meruShule ipo bukoba ila cha ajabu mabweni yameandikwa majina kutoka uchagani
Wamepiga mkwanja. Ukarabati huo hauzidi 2bnBilion 10 si zilijenga JPM hostel? Sasa iweje hayo mabanda yatumie tena 10bn ukarabati?