Kagera/Bukoba yaongoza kwa Idadi ya Maprofesa ikifuatiwa na kipande cha Mwanza Ukerewe

Wengi wanatoka Tarafa ya Kiziba kijiji cha Kitobo mkoani Kagera

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ukanda mzima wa Kiziba ukijumuisha Kitobo, Kanyigo, Ruzinga, Bwanjai, Buyango, Ishozi huko ndo chimbo la maprof na ma Dr. Kila familia huwez kosa angalau degree 2.
 
Wasomi wa kukaririshwa ! Angalau Ruge Mutahaba wa clouds kuliko maproffesor wote
 
Aisee kumbe kina kamuzora ni wahaya, kuna kipanga wa darasa chuoni alikua ana flat A semista ya kwanza hadi ya 5, semista ya mwisho aliteleza kidogo akapata B+ somo moja mengine yote A, tulimshangaa sana anavyolalamika kapata g.p.a ya 4.9.
 
Vyuo vya marekani hamwiti mwalimu kwa title ya Professor bali wanamwita Doctor. Siku moja nilitambulisha Nshomile mmoja ambaye alikuwa ni Associate Professor pale SUA, alikuwa ametembelea maeneo yetu kama exchange scholar nikasema anaitwa Dr. Nshomile, dah! jamaa akanisahihisha pale pale mbele za watu kuwa yeye ni Professor Nshomile bila kujua kuwa grupu lile sote tulikuwa ni maprofesa pia lakini tunaitana majina ya kwanza tu.
 
Chuo gani hicho mkuu?
Aisee kumbe kina kamuzora ni wahaya, kuna kipanga wa darasa chuoni alikua ana flat A semista ya kwanza hadi ya 5, semista ya mwisho aliteleza kidogo akapata B+ somo moja mengine yote A, tulimshangaa sana anavyolalamika kapata g.p.a ya 4.9.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…