Kagera/bukoba villages gallery

Kagera/bukoba villages gallery

Makongo bukoba Kwa juu
13%20(1).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona picha za stend na soko kuu la bk hazipo,pia na mji pendwa wa katerelo na mto ngono weka picha hapa
 
mbona picha za stend na soko kuu la bk hazipo,pia na mji pendwa wa katerelo na mto ngono weka picha hapa
Kwani thread inasemaje? Umesoma thread vizuri.halafu Una akili za ngono Tu kichwani.wenzio wanajenga vijiji huku nyie Kaeni na makaterero yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi nyumba huwezi zikuta kwenye vijiji vya mkoa mwingine wowote ule ni mijini tu Napo Kwa dar kama mikocheno sio uzuri wala mbagala

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichoongea mleta Uzi n ukweli mtupu mm nimeishi huko bukoba miaka kama5 hivi hayo nikiyaona
Nyumba nzuri sana sana zimejengwa vijijini nadan ndan huko kwny migomba yan ukiingia vijjni huko huwezi amini. Yan umenikumbusha mbali mno watu tulikuwa tunashangaa why wanajenga sana vijijini.
Hayo ndo maajabu ya bukoba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kule kwetu kamachumu kuna nyumba ata ukienda bukoba mjini utaitafuta kwa tochi.
 
Back
Top Bottom