Kagera/bukoba villages gallery

Kagera/bukoba villages gallery

Kwakweli huku kuzuri sana mbali na hujuma zinazofanyiwa huu mkoa lakini ukweli utabaki pale pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwai kusema kama matatizo aliyopitia kagera yangepitiwa na mikoa mingine cjui ingekuwaje tuanze na vita ya kagera njoo kwenye kuzama kwa meli, tetemeko, kampeini ya uujumu uchumi, mlipuko wa ugonjwa wa ukimwi na kupandishiwa alama za ufahulu kwa wanafunzi wanaotokea kagera. Yani ilifika atua ili uendelee na shule ukiwa wa kagera upate maksi kuanzia 81 wakati mikoa mingine walikuwa wanachukua ata wa 61.
 
Huu mkoa umefanyiwa hujuma sana na bado unaendelea kuhujumiwa kwa sababu mbalimbali ambazo hata hazifai kuanikwa hapa, lakini ukweli ni kwamba wakaazi wa maeneo haya kwakweli wanajitahidi sana sana tena sana. Ukitaka kujua vizuri zama vijijini ndani, usiishie mjini , hapana nenda ndani ndani ndo utajua hawa ni watu wa namna gani wamejenga Nyumba nzuri, wamelima nk tofauti na mikoa mingi hapa TZ. Lengo si kupambanisha na watani wa jadi kwenye maendeleo(wachaga) ila hata hujuma ziendelee kufanywa hawa watu wateendelea kujiinua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I real don't know over there in such.....mi mara ya kwanza kwenda BK ni last year December.....Bibi yuko hapo itongo, nshamba,so nikapata na wasaa wa kuzurura vijiji vya karibu...nikafika hapo iyangiro kuna bar inaitwa mnazareth something like that....doooh kumepooza mbaya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
You real know your Kwa mtogole residence right?
 
Elimu Elimu mkoa wa kagera na watu wake ndio sifa Yao kuu .kuna shule haijawahi toka ten best matokeo yoyote Yale kemebos and kaizirege schoolsView attachment 1012024
46707256_575961549519271_1307104839346397487_n.jpeg
View attachment 1012023
29819.jpeg
hqdefault.jpeg
25730.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa nankwende ndani kule, utaambiwa dar kuzuri sana, majumba makubwa kabisa yako dar, ila haimaanishi kuwa dar nzima kuna majumba mazuri, hapana, hata nyumba za hovyo zipo, tena hovyo.
Kwahiyo hata hizo picha si kweli kuwa huko kagera nyumba zote ni tamu.

Kagera inazidiwa na Kigoma.
Hatukatai mkuu! Kitendo cha uwanja wa fisi kuwa na nyumba mbovu hakutufanyi tuseme Dar haina nyumba kali kuliko mikoa yote. Mchawi mpe sifa yake!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa nankwende ndani kule, utaambiwa dar kuzuri sana, majumba makubwa kabisa yako dar, ila haimaanishi kuwa dar nzima kuna majumba mazuri, hapana, hata nyumba za hovyo zipo, tena hovyo.
Kwahiyo hata hizo picha si kweli kuwa huko kagera nyumba zote ni tamu.

Kagera inazidiwa na Kigoma.
Lakini mkuu huu ni uzi wa picha/gallary. Sasa tukikaribusha maneno tutakuwa tunaharibu maana ya uzi. Kila mtu atase.a inazidiwa na mkoa wowote atakaojisikia. By the way nakumbusha n picha za vijijini tu na discussion za vijijini kama uzi unavyosema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom