Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,023
Muleba pande zipi kaka?
Muleba moja saa hii
Muleba moja saa hii
White rose namalizia menuMuleba pande zipi kaka?
Unaondoka leo? Nipo kijijini nasalimia wazazi kama upo mpaka kesho tuonanane .White rose namalizia menu
Naenda kulala Bukoba nduguUnaondoka leo? Nipo kijijini nasalimia wazazi kama upo mpaka kesho tuonanane .
Hope umeinjoy menu ya white rose japo bei sio rafiki?Naenda kulala Bukoba ndugu
Ni sehemu nimezoea kula hapo kila ikitokea napita pande hizi ingawa bei zao ni juu ila chakula chao cha uhakika ukilinganisha na sehemu nyingine nilizowahi kula kwa hapa MulebaHope umeinjoy menu ya white rose japo bei sio rafiki?
Nikutakie safari njema do not drive when u are drunk.Ni sehemu nimezoea kula hapo kila ikitokea napita pande hizi ingawa bei zao ni juu ila chakula chao cha uhakika ukilinganisha na sehemu nyingine nilizowahi kula kwa hapa Muleba
BarikiwaNikutakie safari njema do not drive when u are drunk.
U 2.Barikiwa
Kweli mkuu, watu wamejichimbia migombaniUlichoongea mleta Uzi n ukweli mtupu mm nimeishi huko bukoba miaka kama5 hivi hayo nikiyaona
Nyumba nzuri sana sana zimejengwa vijijini nadan ndan huko kwny migomba yan ukiingia vijjni huko huwezi amini. Yan umenikumbusha mbali mno watu tulikuwa tunashangaa why wanajenga sana vijijini.
Hayo ndo maajabu ya bukoba
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea kimalaya malaya sijui umetokea wapimbona picha za stend na soko kuu la bk hazipo,pia na mji pendwa wa katerelo na mto ngono weka picha hapa
Nilikulaga Sana sehemu hiyo tulipokuwa tunafunga RubyaHope umeinjoy menu ya white rose japo bei sio rafiki?
Aiseee Hala majinga yanasema wahaya hawajengi makwaoNilikuwa kijijini ikabidi nipige picha baadhi kama ifatavyo
Wape pole zao