Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,023
Kanyigo sijapata nafasi yakwenda.Weka picha za Kanyigo
5/5
Kanyigo sijapata nafasi yakwenda.Weka picha za Kanyigo
5/5
Mganyizi katunzi?
Nimesahau jina la ubini wake nilisoma nae zamani kwao huko bukoba.Mganyizi katunzi?
utakuwa umelelewa kwa misingi ya katelero katelero.wangambotaaa?Unaongea kimalaya malaya sijui umetokea wapi
Aisee ilo jina wanatumia wahaya wengi sana so inakuwa ni issue kumfahamu kama cjapaga la ubini wake?Nimesahau jina la ubini wake nilisoma nae zamani kwao huko bukoba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wakiona hizi nyumba wanawewesekaHizi ni baadhi ya fences zinazopatikana huko migombani vijijini Bukoba. Hadi CCTV Cameras. Hapa ni Missenyi ndani ndani hukoView attachment 1059816View attachment 1059818View attachment 1059819View attachment 1059820
Sent using Jamii Forums mobile app



