Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,891
- 5,063
Ngoja tutafute za moshi tuwatupie ulushawah kuskia kujiji kina bank basis ni huk moshi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Vijiji vya nshamba, kamachumu,mugana vyote vina benkNgoja tutafute za moshi tuwatupie ulushawah kuskia kujiji kina bank basis ni huk moshi
Sent using Jamii Forums mobile app
AhaaaaaahaaaaaaaManeno maneno sio tabia ya wahaya, upload katerero kama umeshindwa sema
Sent using Jamii Forums mobile app



...aseeUlipita na kyamushoga?Safi sana.. Nilikuwa maeneo ya Itongo, Nshamba Dec iliyopita ni balaa tupu. REA imepita kila nyumba imevuta umeme, Jana naibu waziri analalamika pwani watu wamepelekewa umeme ila muitikio ni mdogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyangiro kubaya...hakudamshiItongo nyakitaba uko ni balaa tupu mzee baba.
Inawezeka nilipita ila sipajui halafu nilikua kwenye private car angalau ningekua kwenye public transport ningesikia majina ya vijiji.. mimi ni born here here (Dar) huko naendaga kusalimia wazee tu. Vipi wewe ni wahuko nini? tutambuane
Maghofu ya kanisa lililopigwa mizinga na Idd Amin. Wangepafanya kama kivutio cha kumbukumbu ya vita vya Kagera.
Iyangilo ya mwaka gani witness?