witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,747
Mmmh unaishi sehemu gani?Hapana ila kila wiki lazima niwepo nyakarembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh unaishi sehemu gani?Hapana ila kila wiki lazima niwepo nyakarembe.
....halafu hiyo lami kutoka muleba hadi rubya iko tayari chief?Hapana ila kila wiki lazima niwepo nyakarembe.
Muleba mjini
Wamemwaga kipande cha mlima pale kanyambogo na njia imefungwa kwahyo magari yote yanoyo kwenda lubya yanazunguka kupitia nshamba.
Ouh...ok okMuleba mjini
What the heck?....kuzunguka nshamba kuja rubya kurefu sana aseeWamemwaga kipande cha mlima pale kanyambogo na njia imefungwa kwahyo magari yote yanoyo kwenda lubya yanazunguka kupitia nshamba.

What the heck?....kuzunguka nshamba kuja rubya kurefu sana asee
Wish watamaliza soon hiyo lami
Sent using Jamii Forums mobile app
What the heck?....kuzunguka nshamba kuja rubya kurefu sana asee
Wish watamaliza soon hiyo lami
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana.....ngoja nami nijiandaeJiwe alisema akija kuludi muleba akute barabara imeisha na barabara zote muleba mjini ziwekwe lami. I can promise by december every thing will be fine maana wanafanya kazi usiku na mchana.
Sorry mtandao njiani unazingua naona majibu yamejiludia
Yeah....sasa nimekuwa nimepapenda, utotoni nilikuwa sipapendi yaanUnakuja kuhesabiwa?
Yeah....sasa nimekuwa nimepapenda, utotoni nilikuwa sipapendi yaan
Sent using Jamii Forums mobile app
Haaaahaaaa aseeUkitaka usisahau kwenu itabidi utafute na mme wa kwenu kabisa.


Ilikuwa zamani. Kwa sasa ata kwenye mikoa kumi inayoongonza kwa maambukizi kagera aimo.Pazuri tatizo ngoma inogile tu.