Hv wewe hivi hata unafuatilia upepo unaendaje katika nchi za East Africa...? Mseveni, Uhuru na Kagame wananizatiti kibiashara pamoja, na kama unajidanganya eti uhuru rais wako imekula kwako..TANZANIA SASA HIVI IMETEGWA SABABU YA HUYO MAGAMBA WENU MLOPOKAJI..Rwanda achana nao na km wangekuwa wanaitegemea sana tz, ndhn tungeizidi uchumi Rwanda..Eti tunajua siraha zao, mwenzako Kikwete kajua Moto aliouwasha ni wa petrol, ndo maana kaona anyamaze tu..
tanzania haiwezi kutegwa eac unajua kwanini pk lazima ajipendekeze kwa uhuru ni kwa woga tu anajua tz ikifunga mpaka hana pakupitishia mizigo,kenya inahitaji tz sana kama soko lake kubwa la bidhaa zake, kenya haihitaji rwanda kwa lolote hata hivyo watz wengi hatutaki hii eac kabisaa, fuatilia riport ya tume ya prof wagwe